Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Nimewambieni msicheze mpira, huo hamjui. Yenu ni kujiangusha angusha tu ndio mnaweza na mbinu hii ndio inayowafaa. Na yele mhuni Costa ku-provoke wapinzani.
Nimejua baada ya mechi na kujua matoeo mtafufuka tu na kuanza domokaya kama kawaida yenu.
Wacha nikupe "hongera" tu kwa leo. Ntuzu.
Jiandae kwa tarehe 14.
Naenda kumchapa Leicester city tarehe 14....