Hicho kianafunzi kinapenda story za wakubwa.....
Ha ha ha ha ha ha Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio
Eti ule mchepuko wetu leo umeamia kwa kibabu cha mashamba ya minazi kule kisiju.....
haswaaaaaaaaa hapo ndipo ninapokukubaligi ila umejuaje kama umenipita miaka??Asee niaje bwana mdogo?
Naona team yenu tu ndio iko mukide, mnaweza mkavunja ule mwiko wa kutetea taji kubwa la Ulaya
![]()
Birthday boy, John Terry, was asked to name his Chelsea XI of all-time.
Ha ha ha ha ha ha mbona Costa simuoni
Chelsea
One win in August, One win in September, One win in October.
Chelsea's wins are coming once a month like the menstrual cycle. 😂😂😂🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻
Timu kubwa zipi hizo Ntuzu?Asante sn Mkuu....
Hii ni hatari Mkuu.... Lkn kwa upande mmoja timu kubwa zimekua na matokeo mabaya sn msimu huu sijui kwanini?
Mkuu wasamehe tu , vichapo mfululizo vinastahiki kuzimuliwa kidogo ili kumuondolea stress Mkaazi wa Daraja bovu. Na hizo mdada zishukuriwe vinginevyo sijui kama Ndugu zetu hawa Ntuzu, Kalou , Mentor, Ma..umbu, kama wangekuwa hai. Imeripotiwa wako wa Ze blauz waliojinyoga kwa kutohimili kichapo juu ya kichapo, wiki ndani wiki nje.
BREAKING NEWS... FA imetoa sheria maalumu za kuinusuru chelsea isishuke daraja...
1) chelsea wameruhusiwa kucheza 12 wakiwa nyumbani na 15 wakiwa ugenini....
2) kama watapata kona 2 mfululizo hiyo itakuwa penati....
3) kila mechi wamepewa nafasi 13 za kufanya sub ili mambo yaende sawa....
4) ikitokea mchezaji wa chelsea amefanyiwa faulo watazawadiwa penalt hatakama faulo hiyo atachezewa kipa wa chelsea....
5) kocha jose morinho amepewa uhuru wa kutoa maelekezo mpaka ndani ya kiwanja wakati mechi inaendelea...
6) wakifunga goli wakiwa ugenini yatahesabika mawili.... Masharti hayo yalianza jumamosi lakini kwa masikitiko makubwa wakapoteza mechi kwa 1-0