Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

BREAKING NEWS... FA imetoa sheria maalumu za kuinusuru chelsea isishuke daraja...

1) chelsea wameruhusiwa kucheza 12 wakiwa nyumbani na 15 wakiwa ugenini....

2) kama watapata kona 2 mfululizo hiyo itakuwa penati....

3) kila mechi wamepewa nafasi 13 za kufanya sub ili mambo yaende sawa....

4) ikitokea mchezaji wa chelsea amefanyiwa faulo watazawadiwa penalt hatakama faulo hiyo atachezewa kipa wa chelsea....

5) kocha jose morinho amepewa uhuru wa kutoa maelekezo mpaka ndani ya kiwanja wakati mechi inaendelea...

6) wakifunga goli wakiwa ugenini yatahesabika mawili.... Masharti hayo yalianza jumamosi lakini kwa masikitiko makubwa wakapoteza mechi kwa 1-0

yazamani! sana hii, umejiona bonge la mjanja kuiweka hapa, kumbe unaonekana ****** tu.
 
ndoto zangu za kumuona smalling na blind wakiizuia msn zimepotea.. so sad... ila najua ntaziona kwa zouma au mertasacker... maana nna hamu ya kucheka sana.. Mungu wasaidie arsenal na chelsea wapite uwape barca na bayern wanao tufurahi...

morning Jf
 
ntuzu na wengine tupeni kikosi cha leo na hali ya mechi ipoje
Hao watu wamepata tumbo la kipindupindu sio rahisi kupata muda wa kufanya usafi hapa JF. Watakapopata matokeo ya kuwasogeza hatua ingine ndio utawaona hapa, watakuwa wamepata nafuu. Sasa wako bizee kwa choo.

Leo ni kichapo tu. Dynamo anaweza kuharibu furaha ya watu fulani leo.
 
2F2AE2D700000578-3351581-Cesc_Fabregas_Cesar_Azpilicueta_Thibaut_Courtois_and_Terry_are_a-a-31_1449603810713.jpg


2F2AFB1600000578-3351581-Courtois_dances_through_the_cones_in_training_after_making_his_l-a-28_1449603383163.jpg


2F24C9D400000578-0-image-a-16_1449602666722.jpg
 
Hao watu wamepata tumbo la kipindupindu sio rahisi kupata muda wa kufanya usafi hapa JF. Watakapopata matokeo ya kuwasogeza hatua ingine ndio utawaona hapa, watakuwa wamepata nafuu. Sasa wako bizee kwa choo.

Leo ni kichapo tu. Dynamo anaweza kuharibu furaha ya watu fulani leo.

unatamani iwe hivyo najua..wewe leo jiandae kuja kuandika umbea wako mara ooh mieleka..oooh ....
 
unatamani iwe hivyo najua..wewe leo jiandae kuja kuandika umbea wako mara ooh mieleka..oooh ....
Nimewambieni msicheze mpira, huo hamjui. Yenu ni kujiangusha angusha tu ndio mnaweza na mbinu hii ndio inayowafaa. Na yele mhuni Costa ku-provoke wapinzani.
Nimejua baada ya mechi na kujua matoeo mtafufuka tu na kuanza domokaya kama kawaida yenu.

Wacha nikupe "hongera" tu kwa leo. Ntuzu.

Jiandae kwa tarehe 14.
 
Sasa ulitaka ale kona?
Ntuzu
Habari zimevuja , mafiaso wa kirusi ametoa pauni 9000 ili kufanya ukarabati wa daraja bovu.

Vipi tumbo la kuhalisha limepoa? Duh. Ntuzu amefufuka leo

Haya bana, hongera.

Leo lete mauchambuzi ya kujiangusha angusha kwa ze bluuuz.

Jukwaa litapata uhai kidogo. Kalou, Root, Enzo, Mfalmenaniiii.... mukuje hapa. Daraja limepakwa rangi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom