Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kabisa sweet tuweke hadharani Ntuzu siyo mtu mzuri anataka atuvuruge......ashindweeeeeeeer!!!!@

Teh teh teh teh yani kwangu wewe hutoki asilani.... Hicho kibabu Mourinho kitakupa nine km sio shamba la minazi pale kisiju? Au mamito siku hizi umeshakua mkwezi wa minazi?

We endelea kuchezea mali ya buluda halafu tusije laumiana baadae

#ForzaKipenziEverlenk

Teh teh utakua mpole tu mi ni Ngosha atiii.

Acha masihara daddy wako atakukill yooooooo!!!!!

Shembaby navyokupendaga mpk napata shambulio la moyo......
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh yani kwangu wewe hutoki asilani.... Hicho kibabu Mourinho kitakupa nine km sio shamba la minazi pale kisiju? Au mamito siku hizi umeshakua mkwezi wa minazi?

Teh teh utakua mpole tu mi ni Ngosha atiii.

Shembaby navyokupendaga mpk napata shambulio la moyo......

Ngosha my foot

Stress zitakuua mwaka huu

"ukimuona ngedere mjini ujue ana wake"
 
Last edited by a moderator:
Utaelewa tu......halafu panda hapo juu nenda kwenye kitufe cha like click hapo wacha kunibania like,mi ndo mama yako muke ya Mourinho usimuonee wivu baba yako....lol

Ahahahahaha Ntuzu kumbe nilichohisi ni kweli aiseeeee!!!!!! Ndo ukaninyima na like, sijawahi on a mutoto yenye wivu km wewe unamuonea gele baba yako, wacha anifaidi loooh........ cute b si ndo uliyemchagua au????

Like siwezi kukunyima nawapa hadi wakaanga sumu km kina Nonda sembuse wewe Mama watoto? Ila Mama watoto utatuuwa wewe.... Michepuko imekua kibao mpk Asprin kile kibabu kinafanya kazi ktk wodi ya vichaa pale Muhimbili!
cute b bimdogo alafu wewe bimkubwa...

Ntuzu mpaka siku moja tukualike maskani ndio utaamini kuwa everlenk ni usingizi wangu?

Wewe Wacha kunivunjia ndoa yangu tafadhali,wale wote ni shemeji zangu.......Hata wewe ni Shem wangu na mwanangu pia.....

Kuna haja ya kuutangazia umma walijue penzi letu, naona vijana wa JF wanachezea sharubu za Simba

Kwahiyo unaweza kuniita shemmtoto....?

Yes shembaby......

Hahahahaaaa shembaby nimeipenda sn hiyo.... Ngoja nijiandae kuzima taa!

Kabisa sweet tuweke hadharani Ntuzu siyo mtu mzuri anataka atuvuruge......ashindweeeeeeeer!!!!@

Hili jukwaa limekuwa la Love Connect please Invisible njoo ufute hii thread🙁🙁
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom