Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Last edited by a moderator:
What the name?????? Yani we unanigusa kumoyo kabisa.... Acha hizo chari wangu.....

Utaelewa tu......halafu panda hapo juu nenda kwenye kitufe cha like click hapo wacha kunibania like,mi ndo mama yako muke ya Mourinho usimuonee wivu baba yako....lol
 
Last edited by a moderator:
Utaelewa tu......halafu panda hapo juu nenda kwenye kitufe cha like click hapo wacha kunibania like,mi ndo mama yako muke ya Mourinho usimuonee wivu baba yako....lol

Yani unazidi kuniongeza maganzi......
 
Attachments

  • 1449499024199.jpg
    1449499024199.jpg
    21 KB · Views: 113
Last edited by a moderator:
Alafu umwambie Mourinho atulie akija huku.... Au hajui kua huku ni kwa mume wako mkubwa? Atakula shaba ya shingo. ...

Wewe ngoja nikuitie juve2012

Ahahahahaha Ntuzu kumbe nilichohisi ni kweli aiseeeee!!!!!! Ndo ukaninyima na like, sijawahi on a mutoto yenye wivu km wewe unamuonea gele baba yako, wacha anifaidi loooh........ cute b si ndo uliyemchagua au????
 
Last edited by a moderator:
Ahahahahaha Ntuzu kumbe nilichohisi ni kweli aiseeeee!!!!!! Ndo ukaninyima na like, sijawahi on a mutoto yenye wivu km wewe unamuonea gele baba yako, wacha anifaidi loooh........ cute b si ndo uliyemchagua au????

Like siwezi kukunyima nawapa hadi wakaanga sumu km kina Nonda sembuse wewe Mama watoto? Ila Mama watoto utatuuwa wewe.... Michepuko imekua kibao mpk Asprin kile kibabu kinafanya kazi ktk wodi ya vichaa pale Muhimbili!
cute b bimdogo alafu wewe bimkubwa...
 
Last edited by a moderator:
mour anachezesha team bila striker. anamwacha costa anamchezesha hazard kama striker
 
Mourinho vipi mkubwa uko pouwa?

Aiseee bado Niko kimya mpk January........ Kwa sasa sina neno

Pole sana jamaa yangu, najua ng'ombe hata akonde vipi hawezi kufanana na mbuzi ila huyu wenu huyu atahitaji malisho na virutubisho vya maana sana January
 
Last edited by a moderator:
Pole sana jamaa yangu, najua ng'ombe hata akonde vipi hawezi kufanana na mbuzi ila huyu wenu huyu atahitaji malisho na virutubisho vya maana sana January

Asante sn Mkuu....

Hii ni hatari Mkuu.... Lkn kwa upande mmoja timu kubwa zimekua na matokeo mabaya sn msimu huu sijui kwanini?
 
Like siwezi kukunyima nawapa hadi wakaanga sumu km kina Nonda sembuse wewe Mama watoto? Ila Mama watoto utatuuwa wewe.... Michepuko imekua kibao mpk Asprin kile kibabu kinafanya kazi ktk wodi ya vichaa pale Muhimbili!
cute b bimdogo alafu wewe bimkubwa...

Wewe Wacha kunivunjia ndoa yangu tafadhali,wale wote ni shemeji zangu.......Hata wewe ni Shem wangu na mwanangu pia.....
 
Last edited by a moderator:
Utaelewa tu......halafu panda hapo juu nenda kwenye kitufe cha like click hapo wacha kunibania like,mi ndo mama yako muke ya Mourinho usimuonee wivu baba yako....lol

Kuna haja ya kuutangazia umma walijue penzi letu, naona vijana wa JF wanachezea sharubu za Simba
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom