Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Sasa Chelsick kama mnaona Ashy ametenda dhambi kubwa
kuliko Abraham o Vich na Terry basi
jamaa kule Uhispaniola wanamuhitaji.
High quality game! we do not complain for the penalty....like Arsenal boys....at the bridge they are out
Bila kujali matokeo ya leo siku zote mwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele ni yule anayemalizia game nyumbani kwa faida hiyo bado tuna dakika 90 za kuonesha hilo na tunaweza."away games games are not away anymore" - proven by man united at san siro, chelsea mkubali you in trouble!
Bila kujali matokeo ya leo siku zote mwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele ni yule anayemalizia game nyumbani kwa faida hiyo bado tuna dakika 90 za kuonesha hilo na tunaweza.
its just half-time i can say, we have 90 minutes to play at our home ground "Stamford Bridge" on Mar 16. We have away goal advantage - nothing to worry!
tunawasubiri darajani
mganga wako wa sumbawanga ndio amekwambia kati yenu na inter mmoja wenu ndio atakuwa bingwa ? kwa mpira gani nyie wawili mlio kuwa nao mpaka muwe mabingwa? endelea na ndoto zako mkuu.Atakaye vuka hapa ndiye atakaye kuwa bingwa!