Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kweli nimeamini kila kitabu na zama zake yaani Chelsea anakipiga na spurs uzi umepoa hivi?
Chelsea hii ingepangwa na Bayern kwenye robo ya UEFA sijui ingekuwaje, naombea iwe ktk kiwango hikihiki mpaka hatua ya Robo UEFA au mtoano kama akifika ili achapwe vizuri.
 
Nonda pita kipande hii hujaleta habari muhimu sana huku ya Costa, kweli ukicheka na Nyani utavuna mabua........please kwa hisani ya mimi everlenk nakuomba ulete hiyo Habari maana wamejikausha kimya .....

Link https://www.jamiiforums.com/sports/20023-the-chelsea-fc-thread-1508.html#post14742868

Diego Costa: Jose Mourinho plays down bib incident with striker

Jose Mourinho says there is "no issue" with Diego Costa after leaving the striker on the bench against Tottenham.
Costa was dropped after netting just one goal in his last eight Chelsea matches and reacted angrily by tossing his substitute's bib at Mourinho.
But Blues boss Mourinho said: "For me his behaviour is normal. A top player on the bench will not be happy.
"If he wants to hurt me it would not be with a bib. I have a good relationship with him."

BBC Sport - Diego Costa: Jose Mourinho plays down bib incident with striker

Huyu jamaa alisema wakati Mou anarudi tena Darajani kuwa kipindi cha pili hakitakuwa na mafanikio kama kipindi cha mwanzo cha Mou. Wakati huo Gullit alikuwa anafundisha soka Qatar. Watu zingine, Ntuzu et al bila shaka walijisemea, "Jamaa ana wivu."

BBC Sport - Chelsea: Diego Costa can still react positively - Ruud Gullit

Yokohama ije iazime Pombe wa Magufuli kwa kipindi cha msimu kilichobakia.

Kitu yote iko hapa: Link Diego Costa throws bib at Jose Mourinho: See John Obi Mikel's hilarious reaction | Football | Sport | London Evening Standard

Costa alishanukuliwa akisema yeye si malaika , na Mou alikubali hilo, "Costa is doing his job the way he should"

Mourinho publicly defended Costa after the game, calling him the "man of the match" and suggesting that those who had a problem with it "probably played badminton" as kids. The Chelsea manager was doing the public part of his job and sticking up for his guy, but in private, you can be sure that he's not happy at all and that he's looking to figure out a way to deal with his player.
Jose Mourinhos Diego Costa challenge - ESPN FC
 
Yokohama inataka kombe la CL tu msimu huu. Hiyo ndio imepelekea kuelekeza nguvu kwa kifunga Makapi ya wavivu bao 4 kwao.

Ulimuuliza Ntuzu na Mentor watakwambia Ze bluuzzii ndio Ze best team in Europe na hata Epl.

Ntuzu na Mentor mukuje huku.
 
Nonda pita kipande hii hujaleta habari muhimu sana huku ya Costa, kweli ukicheka na Nyani utavuna mabua........please kwa hisani ya mimi everlenk nakuomba ulete hiyo Habari maana wamejikausha kimya .....
Wenye Jukwaa wamekuwa ni kama kuku walinyeshewa na ile maji inatoka kwa mawingu.
Hava hivyo zipo habari zinasema Dr. Eva amewatumia "Viagra" wachezaji wa Chelsea ili kurudisha kiwango. Hiyo ni habari njema kwa Ntuzu, Mentor, Enzo, na yule Mfalmeasiyemwerevu.
Link Diego Costa’s goalless performance not what José Mourinho needed | Football | The Guardian

Link2. Tony Cascarino says Jose Mourinho was right to drop Diego Costa | Football News | Sky Sports
 
The boss
 
Attachments

  • 1448977343021.jpg
    1448977343021.jpg
    26.5 KB · Views: 90
Haya mafiaso wanataka kufanya kitu mbaya.

Chelsea submit new 60,000-seat stadium plans

Chelsea have submitted a planning application to build a new 60,000-seat stadium at Stamford Bridge.
The application, which involves the demolition of the 41,600-seat stadium and other buildings currently on the site, will be examined by the London Borough of Hammersmith and Fulham.
The council have set a deadline for comments on the application of Friday, 8 January 2016.

Pata habari zaidi hapa. http://www.bbc.com/sport/0/football/34974544
 
Link https://www.jamiiforums.com/sports/20023-the-chelsea-fc-thread-1508.html#post14742868

Diego Costa: Jose Mourinho plays down bib incident with striker

Jose Mourinho says there is "no issue" with Diego Costa after leaving the striker on the bench against Tottenham.
Costa was dropped after netting just one goal in his last eight Chelsea matches and reacted angrily by tossing his substitute's bib at Mourinho.
But Blues boss Mourinho said: "For me his behaviour is normal. A top player on the bench will not be happy.
"If he wants to hurt me it would not be with a bib. I have a good relationship with him."

BBC Sport - Diego Costa: Jose Mourinho plays down bib incident with striker

Huyu jamaa alisema wakati Mou anarudi tena Darajani kuwa kipindi cha pili hakitakuwa na mafanikio kama kipindi cha mwanzo cha Mou. Wakati huo Gullit alikuwa anafundisha soka Qatar. Watu zingine, Ntuzu et al bila shaka walijisemea, "Jamaa ana wivu."

BBC Sport - Chelsea: Diego Costa can still react positively - Ruud Gullit

Yokohama ije iazime Pombe wa Magufuli kwa kipindi cha msimu kilichobakia.

Kitu yote iko hapa: Link Diego Costa throws bib at Jose Mourinho: See John Obi Mikel's hilarious reaction | Football | Sport | London Evening Standard

Costa alishanukuliwa akisema yeye si malaika , na Mou alikubali hilo, "Costa is doing his job the way he should"

Mourinho publicly defended Costa after the game, calling him the "man of the match" and suggesting that those who had a problem with it "probably played badminton" as kids. The Chelsea manager was doing the public part of his job and sticking up for his guy, but in private, you can be sure that he's not happy at all and that he's looking to figure out a way to deal with his player.
Jose Mourinhos Diego Costa challenge - ESPN FC

Hahahhahah Asante Nonda tukiwaambia Costa hana adabu wanakataa bora leo kamnyea boss wake ,naona na boss kaamua kufa na tai shingoni maana akikumbuka Yale maneno yake alivyokuwa anamtetea yanamshuka shuuu. ......lol
 
Last edited by a moderator:
Wenye Jukwaa wamekuwa ni kama kuku walinyeshewa na ile maji inatoka kwa mawingu.
Hava hivyo zipo habari zinasema Dr. Eva amewatumia "Viagra" wachezaji wa Chelsea ili kurudisha kiwango. Hiyo ni habari njema kwa Ntuzu, Mentor, Enzo, na yule Mfalmeasiyemwerevu.
Link Diego Costa’s goalless performance not what José Mourinho needed | Football | The Guardian

Link2. Tony Cascarino says Jose Mourinho was right to drop Diego Costa | Football News | Sky Sports

Hahhahahahha na awatumie tu maana Hamna namna.....

Costa aendelee Kula bench tu,boss anasema kwanza anabahati yeye ndo amechelewa Kula bench,sasa tutamuona baba yake Ntuzu Mou ataendelea kumlisha Benchi au atamtoa.........aendelee kuyala tu maneno yake ahahahahaha.
 
My baby sikuchumu tena........
 
Last edited by a moderator:
Mambo vipi my everlenk?

Hbr za masiku? Siku hizi huyo Bwana ulompata shikilia hapo hapo............

Nipo pouwa kabisa.....

Hahahhahahahah u missed the old good days......poyeeeeee, best nimetingwa sana na kazi tu halafu siku hizi mnafungwa sana basi shamrashamra humu zinapungua na kuna kuwa bored si unajua tena raha kusagiana sumu.
 
Last edited by a moderator:
Nipo pouwa kabisa.....

Hahahhahahahah u missed the old good days......poyeeeeee, best nimetingwa sana na kazi tu halafu siku hizi mnafungwa sana basi shamrashamra humu zinapungua na kuna kuwa bored si unajua tena raha kusagiana sumu.

Ila sumu zenu nyie ni nouma........

Hajambo bimdogo wangu cute b?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom