Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

I like Mourinho...better than any coach currently in the EPL.
And so pamoja na kwamba kuna nyakati huwa simuelewi/sielewi selections zake...I still support him. Yeye ndo yuko na wachezaji training na anaongea nao...sisi kazi yetu mdomo tu.

NB: hii haimaanishi namsamehe kumpanga Zouma right back defence.

Duhh!!! Alaaaaaaaaa!!!!!
 
Kama vile nimekumiss!!!! Ila siyo vizuri hivyo eti ukifungwa unaninunia na mimi Mrs Mcharo wako, sawa bana!!.......

Mrs Mcharo....kampeni...uchaguzi na ku-hackiwa kwa jamiiforums kulikuja wakati mzuri sana. Hivi sasa tumeanza kushinda...na mtandao umerudi!

Nakupenda sana Mrs Mcharo ila unajua kuna vitu vinauma...
 
I like Mourinho...better than any coach currently in the EPL.
And so pamoja na kwamba kuna nyakati huwa simuelewi/sielewi selections zake...I still support him. Yeye ndo yuko na wachezaji training na anaongea nao...sisi kazi yetu mdomo tu.

NB: hii haimaanishi namsamehe kumpanga Zouma right back defence.

Jose reports Falcao and Courtois are
injured, and Ivanovic is fit to play.
#wellcomeback iva.
 
Rubin Kazan manager after losing 1-0 at
home to Liverpool: "So we are still better
than Chelsea" Ouch
 
Mrs Mcharo....kampeni...uchaguzi na ku-hackiwa kwa jamiiforums kulikuja wakati mzuri sana. Hivi sasa tumeanza kushinda...na mtandao umerudi!

Nakupenda sana Mrs Mcharo ila unajua kuna vitu vinauma...

Nimekuelewa Mcharo wangu,nami nakupenda zaidi, hapa kazi tu ndo sera mpya inabidi niikubali tu sina jinsi wala t-shirt.....mtikisiko kwenye timu ni kawaida kupanda na kushuka ndo maisha.
 
Costaaa
 
Attachments

  • 1446838461044.jpg
    1446838461044.jpg
    31.1 KB · Views: 221
Hawa madogo wa Chelsea u-21 wanacheza vizuri balaa...
 
Mpaka sasa half time:

Aston villa 2 - 3 Chelsea.

Afu ni U-18.
 
Line ups for chelsea vs stock

Begovic.baba.zouma.terry.ramirez.matic.pedro.hazard.willian.costa kick off
 
article-3308266-2E36464700000578-130_964x390.jpg

Chelsick wake up guys, hebu wapigeni hao watoto,
ama sivyo JF haitakuwa hewani
 
mambo zenu ?
Ntuzu
Mentor
Kalou
Root na nanihiiii
The Blauz mwiteni Jache fasta afute matokeo yenu kabla refa hajayatangaza.....
 
Nipo Munich kaka....! Nilienda kuhudhuria msiba kule...

Khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
New Manager for The Blauz !!!!
 
Attachments

  • 1446924090451.jpg
    1446924090451.jpg
    22.1 KB · Views: 223
Mourinho kama hajafukuzwa wikiendi hii, basi hatofukuzwa....Naanza kuwaonea hurma mlitakiwa kupata penati(Remy Loic) mwishoni lakini ndio hivyo tena. Hata hivyo Mkome....
 
Hapa kazi tu
 
Attachments

  • 1446924336849.jpg
    1446924336849.jpg
    21.1 KB · Views: 212
  • 1446924346279.jpg
    1446924346279.jpg
    21 KB · Views: 204
  • 1446924356093.jpg
    1446924356093.jpg
    26.9 KB · Views: 210
  • 1446924368772.jpg
    1446924368772.jpg
    23.4 KB · Views: 203
  • 1446924380653.jpg
    1446924380653.jpg
    61.4 KB · Views: 195
  • 1446924391538.jpg
    1446924391538.jpg
    28.3 KB · Views: 193

Similar Discussions

Back
Top Bottom