Walikuwa wanachungulia tu aka walikuwa bizee!. Muda si mrefu utawaona. Kalou kuja huku mgonjwa wenu amepewa Aspirin leo na amepata nafuu.Mpooooo ????? Naona la kupewa mambo si mabaya
Walikuwa wanachungulia tu aka walikuwa bizee!. Muda si mrefu utawaona. Kalou kuja huku mgonjwa wenu amepewa Aspirin leo na amepata nafuu.
Ntuzu mkaazi wa daraja bovu uko pouwa leo?
Walikuwa wanadhibiti na kupunguza joto la wadanganyika na vichwa vya wendawazimu lilitokana na uwezeshaji wa Tume ya kula kwa hapanakazi tu.Nonda mi nipo myala.... Jf ilikua haipatikani sijui ilikua imekumbwa na vitu gani.....
Walikuwa wanadhibiti na kupunguza joto la wadanganyika na vichwa vya wendawazimu lilitokana na uwezeshaji wa Tume ya kula kwa hapanakazi tu.
Sisi turudi kwenye spoti kupunguza stress za kuibiwa kula.
Leo umeachiwa upumue, urudi kwenye uchambuzi wa soka baada ya vipigo juu ya vipigo.
Umeona Post match interview ya Mou? Alikuwa na heshima leo.
Hahahahaaaa Nonda bhana...
Nilisikia Mou ameikacha team bila kulazimishwa.
Nilisikia Mou ameikacha team bila kulazimishwa.
Ataaanza Van Gaal...
LVG ana three year contract, ikiisha anaondoka yuko mwaka wa pili sasa. Hana jipya huyu jamaa anadumaza wachezaji tu.
WHAAAT!?????
I thought kawafufua kina Young na Fellaini...
I thot kanunua watoto wazuri...Martial Rojo Blind et al...
Sikuelewi bro.
Nilisikia Mou ameikacha team bila kulazimishwa.
Ataaanza Van Gaal...
Wapi upo Mentor?
Nipo Munich kaka....! Nilienda kuhudhuria msiba kule...
Ataaanza Van Gaal...