Na nyie kwani hamjui tuko kwenye uchaguzi...umekuja wakati muafaka sana! Sirudi huku hadi tumwapishe raisi...
Na nyie kwani hamjui tuko kwenye uchaguzi...umekuja wakati muafaka sana! Sirudi huku hadi tumwapishe raisi...
Mbwembwe....mkasaini kwanza matokeo Capital One
Hujasikia? Yamefutwa...
Je hili linawezekana kama tukipokea kipigo kingine kwa Liverpool?
[h=1]Guus Hiddink coy on Chelsea links amid Jose Mourinho doubts - [/h]
Raisi wa NEC au Raisi wa wananchi? Haya bana.Na nyie kwani hamjui tuko kwenye uchaguzi...umekuja wakati muafaka sana! Sirudi huku hadi tumwapishe raisi...
ndio kilichobaki mana hamna namna nyingine .........Umebwaga manyanga😱😱😱😱
Raisi wa NEC au Raisi wa wananchi? Haya bana.
Chelsea manager Jose Mourinho says his "life is fantastic" despite his side'sCapital One Cup exit on penalties at Stoke.
The Blues boss claims their display in the penalty shootout defeat, after a 1-1 draw, was enough to rubbish claims his players were not playing for him.
Chelsea were beaten 5-4 on penalties in the fourth-round tie after forcing extra-time through Loic Remy's injury-time equaliser.
http://www.bbc.com/sport/0/football/34656057
Hivi ni ENZO kweli aliyeandika "bai bai Mou"?
Dogo ameanza kunywa pombe?:crazy:
Au uzalendo umemshinda?
Hivi hakuwa Enzo alimwita Root, shabiki maandazi, shabiki asiyejitambua?
Ipo zile bandugu Ntuzu na Kalou zimekuwa kama piriton.
Ze bluuz imepata ile kitu inaitwa kwashiorkor na Mou amejigeuza comedian.
Kombe gani mkuu....mnabeba...?utaongea yoteeee.......... ndio wakati wako huu!' tukibeba kombe usitoweke kama msimu uliopita.
inashabikia timu gani vile?!
Kombe gani mkuu....mnabeba...?
Wewe unakula bange au unakunywa sigara?utaongea yoteeee.......... ndio wakati wako huu!' tukibeba kombe usitoweke kama msimu uliopita.
inashabikia timu gani vile?!
Mnacheza na Timu gani wiki hii?kwani chelsea ni contender wa makombe gani?!