Kuna mtu zilipelekwa jukwaani kutoka bench ya Chelsea leo. Nafikiri Mou ni mmoja wapo. Alianza ku-rap kwenye technical area na mwamuzi akamwonyesha sehemu nzuri ya kufanyia mihemko na fujo ni kuungana na washangiliaji.Another 7 minutes rant of Mourinho is coming.....
Bandugu vipi?Haya wale watetezi wa Morinho nafhani mwafurahia sana...
Huyu Mbwa afukuzwe tu
Makosa wafanye wacheza rugby na mieleka, lawama kwa waamuzi?Naumia sana pindi ninapoona Chelsea ikifungwa kwanini kila siku nyie tu refa kawapendelea sana West haiwezekani tupewe kadi mbele kizembe vile aaarghr 😛😛😎😎😉😉😀😀😀😀😀😀😀
Faida ya kuwa Muingereza. Unaweza kumnyoshea kidole refa na bado usipewe kadi ya njano au nyekundu.
Teh teh teh sio nafasi ya 4 sisi tutachukua kombe msimu huu
Man u ni kibonde tu
cute b nipe matokeo ya leo.. ya chelsea