Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mou amedungwa sindano ya kwanza.

Dakika 23 WH 1- 0 Ze bluuz

Ntuzu, Mentor, Kalou...Dogo Enzo kuja hapa....au maumivu yameanza?

Hii WH haina huruma, duh.

Leo uchochoro hauchezi kwa hiyo ushindi ni kwa ze bluuzzz, bado ni mapema.
 
Mourinho ata-blame the Goal line Technology kama Chelsea wakishindwa kushinda.
Hiyondio imeonesha kuwa mpira haukuvuka line.

Nafikiri lile bao alilofunga Fabregas wamenyimwa. Mimi sikuona off-side pale lakini mshika kibendera aliona hivyo na uamuzi wake ndio unaotumika.
 
Matic amekula njano ya pili kwa kucheza rugby, yellow + yellow = Red. kwa hiyo kwa leo Dr. Eva anakuja menyewe kumdunga Mou sindano zitakazomfanya apayuke kwa maumivu. ha haaa
 
Leo WH akishindwa kuifunga Ze bluuuzz bao 4 - 0 atakuwa hajawatendea haki wasaga meno na wauguza maumivu Kalou, CleverKing, Mentor, na dugu yangu Ntuzu.

Wale wa vigodoro, msisahau kuleta majamvi na vinywaji. Leo Chelsea hana ujanja tena hana pa kujificha wala pa kutokea.

Root unayo haki ya kuanza kampeni ya "Mou out."
 
Wamerudisha. Bado wana nafasi ya kurudisha, West Ham hawachezi vizuri. Badala ya kuwakimbiza na kuwapa pressure Chelsea wanawaachia nafasi za kumiliki mpira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom