Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
nafasi nne za juu zina wenyewe
Ulikua wapi kusema hili ambalo ndio kubwa kwako ukaanza kwa kuzunguka weeeeee km kimbunga......
Sisi tunachukua ubingwa wa epl msimu huu tena achilia mbali hizo nafasi za top four ambazo ni zenu nyie vibonde.