Nikimbie kitu gani? Nyie endeleeni kuongea hovyo tu
Nadhani hata wewe umeelewa sasa yaani juzi draw akalalamikia refa, leo draw atalalamikia goal tech....
Na lazima atafukuzwa tu
Dear Chelsea,
Ours was Moyes, what's your excuse now? Maybe the real Special One was Eva Carneiro.
Tatizo Morinho anajiona sana, yaani anajiona yeye ndio kila kitu...kaenda Real kaharibu akakimbia huku napo kaharibu anashindwa kimbia maana anataka apewe hela ndefu.. huyu jamaa katupeleka mbele step mbili afu katurudisha step 10 yaani Chelsea ndio yakushika nafasi ya 15 kwenye michezo karibia 10 daaah
Alikula Njano hapo