Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Analipwa kiasi gani kwa mwaka? Alafu ukitoa hiyo 50,000£ inapunguza nini ktk hilo pato lake kwa mwaka? Au hicho ki 50,000 ni kitip tu kwa José Mourinho?

Atasema sn tu na bado atawasema vzr tu iwapo waamuzi wataboronga.... Km hiyo ban ya game moja na ije. Atafatilia mechi kwa tv na kutoa maelekezo kwa sim km game ya Munich 2005.

Mbona hivi ni vijimambo tu vidogo....

Jambo la msingi ni kuwa Domokaya amekiri kuwa ni yeye aliyeboronga kwa kupayuka.

When will Jose Mourinho learn?

The English Football Association handed Mourinho, 52, a suspended one-match stadium ban and a $75,000 fine on Wednesday after he admitted a charge of misconduct.

Link Chelsea's Jose Mourinho gets suspended ban, fine post-match meltdown |
 
Last edited by a moderator:
Umekuja na wewe Nonda?????
Amani iwe juu yako, dugu yangu.

Najua ni kipindi kigumu cha masononeko na msongo wa mawazo. Ni kipindi cha mpito tu. Uwe unachambua soka kama zamani sio usubiri pale mnaposhinda mechi tu.

Umesikia Aston Villa amesema hakubali kubakia kule aliko peke yake anataka na Chelsea aende kule kunogesha relegation battle.
 
sitaki kuwa shabiki mwenye short memory kama mashabiki anawasema mourinho, mimi navyojua hichi ni kipindi cha mpito, tulishangilia wote ubingwa na tuwe pamoja katika hichi kipindi kigumu.
 
Amani iwe juu yako, dugu yangu.

Najua ni kipindi kigumu cha masononeko na msongo wa mawazo. Ni kipindi cha mpito tu. Uwe unachambua soka kama zamani sio usubiri pale mnaposhinda mechi tu.

Umesikia Aston Villa amesema hakubali kubakia kule aliko peke yake anataka na Chelsea aende kule kunogesha relegation battle.

Chelsea sio kichwa cha mwendawazimu

Teh teh teh
 
Chuki kwa Ivano vipi ni nzuri? Muulize Kalou.

Chuki kwa Pedro vipi ni nzuri? Muulize Mentor.

Kila anaetoa dukuduku lake huwa ana chuki?

Nawaamini wachezaji wote wa Chelsea na kuwakubali wote.....
 
Kutokubaliana kwa vitu debatable kupo ila sio kwenye facts....Ukisema Chelsea ni blue mimi nilazimishe ni Red ni tofauti...Ukibishia fact ni somebody else tena...

Nafikiri tangu awali nimesema kila mmoja abaki na mtazamo wake. Kutaka kulazimisha mtazamo wako ndio uko sahihi hapo sasa ndio kwenye shida
 
Haaaa wewe nikajua umesahau....
Ila ye nae kazidi bana, ingawa maneno yake matamu saa zingine....
Najua kwa hili ataacha maneno
Analipwa kiasi gani kwa mwaka? Alafu ukitoa hiyo 50,000£ inapunguza nini ktk hilo pato lake kwa mwaka? Au hicho ki 50,000 ni kitip tu kwa José Mourinho?

Atasema sn tu na bado atawasema vzr tu iwapo waamuzi wataboronga.... Km hiyo ban ya game moja na ije. Atafatilia mechi kwa tv na kutoa maelekezo kwa sim km game ya Munich 2005.

Mbona hivi ni vijimambo tu vidogo....

Chelsea manager calls FA fine a 'disgrace'

Chelsea manager Jose Mourinho says his Football Association fine is a "disgrace" after being ordered to pay £50,000.

Mourinho had claimed officials were "afraid" to award his team penalties after Robert Madley denied the Blues a spot-kick in a 3-1 loss to Southampton.

It was announced on Wednesday that the 52-year-old had also been given a suspended one-match stadium ban.

"I'm happy I don't have an electronic tag," said the Portuguese on Thursday.

http://www.bbc.com/sport/0/football/34546118
 
Teh teh teh wape Mourinho vidonge vyao....

Unaweza ukamsukuma mtu ktk benchi la ufundi na isiwe tabu......

Mtu anaweza kumuita Mike Dean dhaifu na isiwe tabu lkn José Mourinho akisema tu marefa waoga kuipa Chelsea penati.....adhabu inamshukia😀😀😀:what::what::what::what:
 
Na yeye atapewa kamba refu zaidi ili ajinanii!
Watazichukua kidogo kidogo, lefu 20 jana, elfu 50 leo, elfu 16.5 kesho ya kesho.

Atakaa sawa au atawekwa sawa tu, pole pole!
 
12108904_1609928239047386_3268121896000590078_n.jpg

THE BREAK IS OVER #FINALLY!
 
Na yeye atapewa kamba refu zaidi ili ajinanii!
Watazichukua kidogo kidogo, lefu 20 jana, elfu 50 leo, elfu 16.5 kesho ya kesho.

Atakaa sawa au atawekwa sawa tu, pole pole!

Pesa sio tatizo kwa José. Nyie chukueni Zaidi muwezavyo. Na hakai sawa mtu hapa. Hiyo Elfu 50 waliyompiga walifikiri atakaa kimya mbona ndo kwanza kazidi kuwachimba?
 
Pesa sio tatizo kwa José. Nyie chukueni Zaidi muwezavyo. Na hakai sawa mtu hapa. Hiyo Elfu 50 waliyompiga walifikiri atakaa kimya mbona ndo kwanza kazidi kuwachimba?
Hiyo inathibitisha kuwa Mou anatumia hiyo mbinu ya kuomba kubebwa na waamuzi.
Nilikwambia kuwa Mou ana kawaida ya miaka 2-4 anafunga virago kwenda kuanzisha uhuni wake sehemu ingine. Kila anapokwenda anaharibu mpira ,ingawaje anatwaa vikombe.
Mbinu moja ni hiyo ya kuwa-blackmail waamuzi kupitia upayukaji kuwa wanafanya mbinu kuinyima timu yake ushindi/ubingwa au waamuzi hawatoi maamuzi ya kuibeba timu yake.

Pili ni kumwingiza kocha ya timu ingine, popote awapo katika kutayarisha mazingira ya udaku na mipasho. Spain alitaka udaku na Kocha wa barca, UK anataka udaku na Mr. Bean

Wapo makocha wengi tena wamefanya makubwa tu katika soma lakini Mou ana tabia za kike na kujikweza. And that is a fact. Lol

Subirini mpaka mfike nafasi ya 18 ndio mtaelewa Mou anamhitaji Doctor, Mamito wa Adam.
Sasa
 
Pesa sio tatizo kwa José. Nyie chukueni Zaidi muwezavyo. Na hakai sawa mtu hapa. Hiyo Elfu 50 waliyompiga walifikiri atakaa kimya mbona ndo kwanza kazidi kuwachimba?
Wapenzi wa soka wanataka kuangalia soka mwanana na sio mpira anaofundisha Mou. Mou anaharibu mpira na vile vile anapenda mipasho.

Angalia Man United na Arsenal...respect baina ya makocha.
Angalia mechi inayokuja baina Man United na Man City uone kuheshimiana baina ya makocha.

Sio kawaida kusikia makocha wengine wakiwa na misuguano baina yao lakini ni kawaida kusikia Mou amehusika katika tukio/ mabishano, na kocha zingine au kuonesha dharau kwao.

Mou ni mihemko kwenda mbele na anapoboronga anatafuta njia ya kuwatupia lawama wengine.

Na media ya UK inavyopenda kuwapandisha watu na baadae kuwadondosha, Mou ajiandae.
 
[FONT=arial, sans-serif]
2D737E2700000578-3274502-image-a-20_1444934627156.jpg

[/FONT][FONT=arial, sans-serif]
Unrest .... .... what unrest .... . .
[/FONT]
[FONT=arial, sans-serif]
[/FONT][FONT=arial, sans-serif]Nachikia weekend hii mkipigwa magoli kibarua kinaota mbawa ..... ..... [/FONT][FONT=arial, sans-serif]

[/FONT]​
 
Pesa sio tatizo kwa José. Nyie chukueni Zaidi muwezavyo. Na hakai sawa mtu hapa. Hiyo Elfu 50 waliyompiga walifikiri atakaa kimya mbona ndo kwanza kazidi kuwachimba?

Wacha uhuni wewe kama sio tatizo kwa nini anabwata hovyo? Ingekuwa sio tatizo usingemsikia khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
12108904_1609928239047386_3268121896000590078_n.jpg

Mutiny khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
anagalia body language ya Oscar
 
Pesa sio tatizo kwa José. Nyie chukueni Zaidi muwezavyo. Na hakai sawa mtu hapa. Hiyo Elfu 50 waliyompiga walifikiri atakaa kimya mbona ndo kwanza kazidi kuwachimba?
Mpayukaji anataka kukata rufaa, 50 elfu ni nyingi, wewe Ntuzu "alipo nipo" unahisi pesa si tatizo.

Jose Mourinho: Chelsea boss to appeal against £50,000 FA fine

Chelsea manager Jose Mourinho says he will appeal against a £50,000 fine from the Football Association which he has called "a disgrace"
Mourinho said officials were afraid to award his team penalties after referee Robert Madley denied the Blues a spot-kick in a 3-1 loss to Southampton.

Link BBC Sport - Jose Mourinho: Chelsea boss to appeal against £50,000 FA fine

Speaking at a press conference ahead of Chelsea's home match against Aston Villa on Saturday, Mourinho said: "I have to be honest with myself - that is the most important thing - so I have to appeal."

Link2 http://www.skysports.com/football/n...eal-fas-16350k-fine-and-suspended-stadium-ban

Link3 http://www.skysports.com/football/n...0000-fine-and-suspended-stadium-ban-explained
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom