Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

uploadfromtaptalk1443559145189.png
 
Mfunge tuu jaman...
Kila siku mnafungwa tuu? Hadi sion raha kuangalia mech yenu maana mtu unaangalia huku unajua matokeo tayar kuwa mwisho wa siku lazm mfungwe hivyo hainogi
kwisha habari yao. wazee wa mbeleko chali
 
Yule daktari laana yake kali/mbaya sana...itabidi Mourinho akamuombe msamaha tu. Ntuzu mshaurini jamaa akamuangukie yule binti...you might think it's a joke but that's a reality.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Laana ya EVA CARNEIRO dem wa ivanovich inamuandama morinyo ambae alikuaa anataka penz la huyu bint
 
Naona Ntuzu kaamua kuwa mourinho wa jukwaa, au yule waziri wa ulinzi wa Iraq kipindi Saddam Hussein anatandikwa na wa.marekani
 
Last edited by a moderator:
Soton ndio timu gani?
Mtasema yote lkn points 6 zetu lazima mtupe tu.
Nampeni hongera kwa kuepuka kipigo cha nguvu. Domokaya alishatoa sababu ya kushindwa leo. Alishasema mtu zake zimepunguza kufanya mazoezi ya mieleka ya nguvu.
"Clearly it's an attitude perspective of some individuals," he said.
"And when you have individuals with that unstable attitude in terms of motivation, desire and commitment you will pay."

How much did Mou pay?

Poleni kwa maumivu. Mtazoea tu. Maumivu yakizidi , mambieni domokaya aache kupiga kelele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom