Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani ligi zote #ManUnited wanashindana kwa sasa?

UCL, kila timu ipo kundi tofauti; Carling Cup kila timu imeshinda.

Sasa utalinganisha vipi huko badala ya kuangalia ligi ambayo Rentboys na United wanashindana? Oh! Kwa sasa Rentboys hawashindani na United, bali wanashindana na Bournemouth, Stoke City, Newcastle na Sunderland kushuka daraja 😂😂😂😂

Tukutane tarehe 28 December tushuke wote Darajani
 
Duh yani kutoku-comment siku moja (actually masaa tu) unaonekana umekimbia jukwaa!!!! Kweli wakaanga sumu hamkosi cha kusema.

Haya nimekuja... RRONDO, Belo, herrera, everlenk, cute b, Nonda et al et al!!!!

Hebu tufanye hesabu kidogo, wale wataalamu wa hesabu mtanisahihisha,

Given that
7games + 8points = chelsea
Therefore find chelsea and explain your answer.
Soln:
Let c represent chelsea
So C= 7games + 8points
Now lets ignore the games n de points
So we have C = 7 + 8
C = 15

Explanation,
This means that chelsea is found at 15 position on the table.
 
Last edited by a moderator:
Kale kazee Wenger lazima kawaharibu

khe khe khe khe....kweli kazi unayo,katika timu zooote matumaini unaweka kwa arsenal??!! arsenal kashindwa hata kuifunga man utd ya moyes!!!!
 
khe khe khe khe....kweli kazi unayo,katika timu zooote matumaini unaweka kwa arsenal??!! arsenal kashindwa hata kuifunga man utd ya moyes!!!!

Si juzi tu Shabba Ranks aliwaharibu hapo OT au hiyo man u ilikua ya nani?
 
Si juzi tu Shabba Ranks aliwaharibu hapo OT au hiyo man u ilikua ya nani?

FA CUP na ligi ni vitu viwili tofauti.....sikumbuki mara ya mwisho lini walipata points tatu kutoka kwetu!!
 
Hahahahaaaa safari hii wanakuharibu

Niko gunners kwa mkopo

Sikushangai....mwaka huu utashangilia hadi watford wakicheza na man utd!!! Na angekuwa Sir Alex pale juu,tumekuacha points hizi 8,ningekwambia sahau ubingwa!!! Ila huyu LVG SIWEZI KUWEKA DHAMANA
 
Sikushangai....mwaka huu utashangilia hadi watford wakicheza na man utd!!! Na angekuwa Sir Alex pale juu,tumekuacha points hizi 8,ningekwambia sahau ubingwa!!! Ila huyu LVG SIWEZI KUWEKA DHAMANA

Hahahahaaaa lvg Mteja wa Mou tu huyo. Ana points 6 zetu nyeupe lazima aachie.
 
Umekuja wakati kumeshapoa!!! Naona bado mko kwenye relegation battle......

Dah mechi yetu tu ilipoisha nilikuja nikaandika vya kutosha kuhusu mtazamo wangu juu ya mechi ile. Jana kwa kweli nimeingia kwa-kubip kutokana na majukumu ya kidini nilibanwa kanisani na hata nilipotoka nilikuwa bize najiandaa na kazini leo.

Kumepoa aje..leo tena kuanzia mida ya saa tisa nitakuwa hapa na Mou tuki-analyze game letu la kesho dhidi ya timu yake ya zamani...! Karibu sana mkuu..patakuwa pa moto!
 
12020026_1043804568985259_7832699022469552861_n.jpg
 
Ilikuwa mida ya saa tatu usiku kwa majira yetu hapo jana wakati ambapo timu yetu ilitua nchini Portugal kwa ajili ya mtanange wa kukata na shoka dhidi ya timu ya zamani ya kocha Jose Mourinho...

pre-match-briefing--porto-v-chelsea.img.png
 
2CDB8FDC00000578-0-image-a-42_1443442268378.jpg


The Captain..leader..legend...hopes to be back to add to the experience of playing against Porto.

2CDB955200000578-0-image-a-35_1443442181530.jpg


Na huyu naye leo ana hamu ya kufunga goli...



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom