Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaa na umolog out noma sana

Mkuu mie sijawahi log out nina muda sana toka nimelog out....
Kiukweli Chelsea yaumiza sana
Sasa najua kitachotokea maana Porto watatufunga na Southampton watatupiga na Morinho atafukuzwa. Yule Klopp anaweza kuja kwetu....
 
yaani leo nna furaha sana kwanza Yanga kashinda pili Man city kagongwa tatu MAN U kanifanya niwe na siku nzuri zaidi nne ni hiki kipigo anachopewa ze bluz kinazd kuifanya siku ya leo iwe tamu na ya kipekee
 
Mkuu mie sijawahi log out nina muda sana toka nimelog out....
Kiukweli Chelsea yaumiza sana
Sasa najua kitachotokea maana Porto watatufunga na Southampton watatupiga na Morinho atafukuzwa. Yule Klopp anaweza kuja kwetu....

Pole sana my dear
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom