Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Kiongozi hiyo ni ndoto Mkuu! Hawa jamaa leo tunawapiga vibaya sn
Mimi nitakuja kukupa pole kigodoro kikianza mkuu
Kiongozi hiyo ni ndoto Mkuu! Hawa jamaa leo tunawapiga vibaya sn
Mimi nitakuja kukupa pole kigodoro kikianza mkuu
Mimi ni mpenzi wa kandanda. Msimu huu naipenda(nashabikia) Crytal Palace na Leicester.
Pia napenda ze komedi za domokaya( mpayukaji)
Baada ya kuumia kwa Willian na Pedro.
Iwe hivi:
A. Begovic - keeper
C. Azpilicueta - RB
G. Cahill - CB
J. Terry - CB
B. Rahman - LB
N. Matic - CM
C. Fabregas - CM/AM
E. Hazard - LW
E. Oscar - AM
Ramires - RM
D. Costa - FW/Striker.
Sub: Ivanovic na Zouma; R. Loftus Cheek na Kennedy; L. Remy na R. Falcao.
#CFC #KTBFFH
Kalou katika ubora wake.Ivanovic again..
Watajitokeza baada ya refa kuwarahisishia kipindi cha pili. Costa ambaye alistahili kupewa nyekundu kwa makosa aliyofanya ya dakika ya 43 na dakika ya 2 bado yupo uwanjani. Na Mchonga meno ndio amepumzishwa. Mwamuzi ameshaiharibu hii mechi ya leo. Kwa ze bluuz wanaweza kuanza sherehe.Mbona hamreport????? Au reporter wa kujitegemea nije kama kawaida
Umeona eeeeh! Ameshaharibu ze utamu.Chelsea anabebwaa...pumbavu sana refaaa
Watajitokeza baada ya refa kuwarahisishia kipindi cha pili. Costa ambaye alistahili kupewa nyekundu kwa makosa aliyofanya ya dakika ya 43 na dakika ya 2 bado yupo uwanjani. Na Mchonga meno ndio amepumzishwa. Mwamuzi ameshaiharibu hii mechi ya leo. Kwa ze bluuz wanaweza kuanza sherehe.