kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
Mpo au tuwasaidie kureport hata vibonde nao mwawaogopa ? Hongereni naona kitu kishasoma
Naona upo kama kawaida yako..
Mpo au tuwasaidie kureport hata vibonde nao mwawaogopa ? Hongereni naona kitu kishasoma
Naona upo kama kawaida yako..
Naona upo kama kawaida yako..
Analysis to come in the morning. Good night kwa sasa
Hii unaiita match? Mlicheza na timu ipi?oscar8 kwangu ndio alikua man of the match ............
Wooooiiii!!!! Mlikimbia hata kuleta mrejesho humu sasahivi ndo mnakuja na maneno meengiii!!!!
Hii Maccabi Tel Aviv nimeaona haina tofauti Stand United (ya Shy)
chelsea wamekutana na hawa tel wavivu
79' Fabregas 4-0 leo mmewaokota kweli hawa waisrael ,Hongereni sana
SINA HAJA YA KUANGALIA mech mbovu ya chelsea leo maana matokeo nishayajua.. CHELSEA O MACCABI 6... aibu nyingne kwa mourinho.. leo mourinho na ivanovic(wowowo) wanapigwa red card...
the sleeping bear is now awake