Hizi match za leo wangezifuta tuu tuanze upya. Labda kama jumatano au alhamisi.
Mkuu hatuna shaka kabisa ligi ndio kwanza imeanza Leo na hatujapoteza!
Mwanzo mzuri kabisa kwa bingwa mtetezi!
Next weekend USO kwa USO na Man City......
HBD Deo
>>Real Madrid have Bale, Benzem,C.Ronaldo
(BBC)
>>Barca have Messi, Suarez, Neymar (MSN)
>>Man Utd have Bastian, Memphis, Wayne(BMW)
>>Arsenal have Carzola, Ozil, Oxlade,Laurent K.
(COOL)
>>Chelsea have Falcao, Oscar, Obi, Loic (FOOL)
HBD Deo
>>Real Madrid have Bale, Benzem,C.Ronaldo
(BBC)
>>Barca have Messi, Suarez, Neymar (MSN)
>>Man Utd have Bastian, Memphis, Wayne(BMW)
>>Arsenal have Carzola, Ozil, Oxlade,Laurent K.
(COOL)
>>Chelsea have Falcao, Oscar, Obi, Loic (FOOL)
Bora kupewa Goli na kutoka na point tatu kuliko kupewa Goli na ukapata point moja.......hahahahaha wapi ENZO Mungu mzuri huyu jamani acha tu mmetuponda weeeee tumepewa goli haya nanyi mmepewa wapi sasa point 3? Hahahahhahhahhahahhahahahhah!!!!!!!! Watu weweweeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
Oyoooooooooooo hahahahaaaa ENZO kajikunyata ameshasinzia na maumivu rohon tehe teheee nimefurahi balaaaaaa
Mapointi mawili yameyeyuka ,wewe unasema hujapoteza! Ulitaka uchapwe ndio ungekiri kupoteza? Hakuna kudondosha points au kudondosha inakubalika?Mkuu hatuna shaka kabisa ligi ndio kwanza imeanza Leo na hatujapoteza!
Mapointi mawili yameyeyuka ,wewe unasema hujapoteza! Ulitaka uchapwe ndio ungekiri kupoteza? Hakuna kudondosha points au kudondosha inakubalika?
Yule kipa wenu alikuwa anafanya mazoezi ya Bruce Lee?
Ile kadi aliyopewa ni uonevu au ilimstahiki?
Mchile ana usongo na Mou.Next weekend USO kwa USO na Man City......
Kweli bro, huu ni mwanzo mzuri.Mwanzo mzuri kabisa kwa bingwa mtetezi!
Mchile ana usongo na Mou.
Na yule mlinda mlango anaejifunza karate ndio atakuwa anatumikia kifungo.
Nitaifuatilia mechi hii kwa karibu sana au kwenu hii mechi ni pre-season prep.?
Kweli bro, huu ni mwanzo mzuri.
Na mechi inayofuata na M. City ndio upili mzuri zaidi.
Ndio Mou anajaribu kuendana na yokohama? Mou akifundishwa kucheza mpira wiki ijayo atarudia mfumo wa ku-pack bus.
Mnakula cha mbavu.
Tupinge.
Hakuna cha mbavu tulieni muone kz sisi ndio mabingwa Wa EPL mpk sasa! Au kuna bingwa mwingine ameshatawazwa?
Nakuambia tuweke dau, mnafungwa na Man City