Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

MWISHO WA MSIMU TUTAJUA FLAG YA NANI ITABAKI FLYING HIGH...

2B21251400000578-3186385-image-a-17_1438807330800.jpg

GO THE BLUES!!!!

Aina manouma
 
Kwa vigezo vip??? Kukaaa miaka 26 bila kikombe?? Chochote au kuwa na vikombe vingi kuliko arsenal?? Maaana sijaelewa umetumwa factor ZIPI au kupata washabiki mwaka 2008

Kaka vipi tena?, wewe ulipouliza hilo swali uliweka vigezo unavyotaka?, wewe umeuliza Chelsea na Arsenal ndogo hipi?, na ndio umejibiwa Ndogo Arsenal
 
Hata mimi namshangaa huyu jamaa! Clueless fan...ukimuuliza mwenyewe alianza lini kushabikia hao Ars8 utakuta ni msimu ule wa invincibles! Siku hizi wamebakia kuchukua makombe ya friendlies tu....baada ya hapo wachezaji wote wanahamia hospitali!
 
Mmiliki wa timu yenu aliinunua Chelsea mwaka gan!?? Nikumbushe nimesahu mana Mi nakumbuka baada ya kuinunua game yake ya kwanza ya ligi kushuhudia mlipigwa sijui kama mnakumbuka??
 
Mentor Mimi ni die hard fan
 
Hata mimi namshangaa huyu jamaa! Clueless fan...ukimuuliza mwenyewe alianza lini kushabikia hao Ars8 utakuta ni msimu ule wa invincibles! Siku hizi wamebakia kuchukua makombe ya friendlies tu....baada ya hapo wachezaji wote wanahamia hospitali!

Sio admire fan kama wewe
 
Fiorentina vip Mme wachapa?? Nasikia XUMA amekaza kama finalle
 
Wowowo FC Poleni kila siku mnabakwa ila wabakaji sio katili wanawapiga goal moja tu.
 
Manchester, City, Liverpool wanasajiri sisi tumekaa na majungu tu na kutupa medals .... ujinga kabisa, mwaka huu sijui
 
Mkuu Root mbona waongea hivi?!!?! Hebu tulia bhana! Kila kitu kiko pouwa mkulu!
 
Last edited by a moderator:
Mmiliki wa timu yenu aliinunua Chelsea mwaka gan!?? Nikumbushe nimesahu mana Mi nakumbuka baada ya kuinunua game yake ya kwanza ya ligi kushuhudia mlipigwa sijui kama mnakumbuka??

SO WHAT????

In England??.......hahahahaha

At least wewe umeongea ukweli in London city.......

Kama unabisha na wewe sema tu...for the past 10 or so years CHELSEA HAS BEEN THE BEST TEAM IN ENGLAND!

Bisha na hapo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom