Asante pachaaaaa umenimalizia hasira zangu zoooooooooteeeeeeee!!!! Kinywaji gani unatumia aiseee!!!!.......
Pepsi ya baridi kwa kimaro mamy hahahahaaa
Chukua mumy na ingine ongesaaaaaa.........wamekimbia jukwaa wametuachia jamani!!!!!
Acha kudanganya watu Google sa hiv hapo af to a majibu
Ooooooowww jukwaa lepesii wamekimbia woteee...
Tujimwaye mwaye sisiiiiii
Chukua mumy na ingine ongesaaaaaa.........wamekimbia jukwaa wametuachia jamani!!!!!
Teh teh teh teh
Mbavu zangu mie! Hiyo siku ile timu ya LvG ikifungwa sijui mtajificha wapi? Nitawatafuta kila kona na ikiwezekana nitaoga nje siku hiyo.
yatunze haya maneno yako tukutane baada ya siku kadhaa
Teh teh teh teh
Mbavu zangu mie! Hiyo siku ile timu ya LvG ikifungwa sijui mtajificha wapi? Nitawatafuta kila kona na ikiwezekana nitaoga nje siku hiyo.
Ni club inayofanya vizuri na ina makombe mengi hahahahaaa...
Na tuna hela ya kumnunua hadi mesi.
Club tajiri duniani...
Muulize pacha wangu everlenk kama huamini
Kunywa pepsiii ingineeee........mumy mimi jana hata sikutaka kucheza kigodoro chochote ila niliwapa sharti moja tu hasa Mcharo wangu anayependa kuweka picha kule kwetu kwamba ajihukumu mwenyewe aziweke mwenyewe kabla sijaweka akagoma hamadi wewe huyo.....loh!!!! Waiter Mpe na ingine na kuku msimaa mpatie hii pacha yangu......
Wamekimbiaaa