Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
1972-2015 - Arsenal have won 15 trophies.
1998-2015 - John Terry has won 16 trophies.
1998-2015 - John Terry has won 16 trophies.
[/QUOTE]Pole Mwanakwetu. Tunawapa tu makombe yenu ya nje ya uwanja. Nadhani mlizungumziwa zaidickwa ajili yabtia maji tia maji msimu wenu ulivyokuwa. Presha ilikuwa full kwa wapenzi wetu. Lkn ndo mpira. Mwakani jitahidi muwe wa 2. Inapendeza zaidicMan U-wakiwa wa 2 kuliko Man City kuwa kwenye hiyo position.
UOTE=everlenk;12842131]Mwanakwetu hata Haya ni mafanikio......lol.....kupendwa raha pamoja na kuwa vibaya kumbe bado inawapenzi wengi ikiwa vizuri je???........Kombe ni lenu jamani tushakubali ila nikiangalia mwanzo wa msimu ilivyoanza na leo imemaliza 4th siamini........ Wengi walijua tutamaliza 14th huko then mwakani inashuka daraja kabisa.......... Ahhh!!! Mwanakwetu mutuwache tupumzike kha!!!!
AMBAO NINGEPENDA KUONA WAKIHAMIA CHELSEA:
![]()
Jack Grealish (17), Aston Villa
![]()
Raphael Varane (23), Real Madrid
Varane aje jamani.. JT akitundika daluga dogo achukue mikoba na Cahil
Me nataka aje namba 10 mmoja matata kabisa maana oscar simfagilii kivile hana consistency kabisa yeye uwezo wake ni kushine nusu au robo msimu basi. Kama tukipata namba 10 aliyeconsistent kama hazard basi tutakuwa tumeula oscar nyanya sana thou akiwa at his best ni mzuri
Mimi naona tukicheza 4-2-3-1 with Matic & Fabregas; Hazard-Oscar-Willian (or someone better asajiliwe this season) tunacheza poa sana...
Oscar is good ni vile tu Mou hamuamini sana!
Tunahitaji wacheza wanne wazuri ili kuchukua UEFA na kutetea EPL!
(1) Tunahitaji Centre Back mmoja mzuri ili kufanya wachezaji wasichoke na kutumika sn kucheza kila mashindano maana Terry umri umemtupa mkono kidogo hivyo kwake yeye haitakua rahisi kucheza michezo yote!
(2) Tunahitaji DM mzuri ili Matic asitumike sn maana Obi huu msimu majeruhi yalimuandama sn kiasi ilibidi Matic afanye kz sn ktk mashindano yote. Vile vile ili tuwe na striking force ya nguvu watu km Fabregas, Oscar, Ramires wanatakiwa wacheze wakiwa huru bila kua na majukumu ya ukabaji sn.
(3) Km Cuadrado asipo badilika basi Tunahitaji MTU mwingine ata ktk dirisha dogo pale January ili Hazard, Willian wasitumike sn!
(4) Tunahitaji Striker mmoja matata sn ingawa nahisi huu msimu ujao utakua ni mzuri sn kwa Remy na pia Costa. Lkn bado Tunahitaji striker matata sn ktk hiyo nafasi ili kutetea ubingwa!
Oscar ni mzuri at his best tatizo kumaintain form hawezi anyway ngoja tumpe muda
nakubaliana na points zenu hapo juu. kwa mawazo yangu nadhani tunahitaji 1 good central defender ili kupunguza pressure kwa JT. Tunahitaji attacking midfield ambaye ni mzuri kwenye wings ili apunguze pressure kwa Hazard ikibidi. Pia another good striker kama Griezemann ili aongeze ushindani wa namba. ushindani ni muhimu na unaongeza ufanisi. kuna yule dogo mbrazil alinunuliwa juzi juzi hapa sijui anacheza positions zipi na ni mzuri kiasi gani. Ila Cuadrado kama akianza msimu kama alivyoumaliza huu ulioisha anaweza kuja kutusaidia. Ingawa pia ningetamani Salah arudi manake ile kasi yake akipewa majukumu na akatuliza akili na kujipunguzia pressure atatufaa sana.
Dominic Solanke 2014-15 season.
At youth level, Solanke continued to score at a prolific rate scoring 15 goals in 16 games before Christmas and finishing as top scorer in the
group stages of the UEFA Youth League after a hat trick in the final
group stage match against Sporting CP . On 10 April 2015,
Solanke scored a brace in the semifinal of the 2014–15 UEFA Youth League against A.S. Roma to send Chelsea into the final. Solanke
scored again against Shakhtar Donetsk in the UEFA Youth league final ending the tournament with 12 goals in 9 games as Chelsea won the title. On 20 April, Solanke scored a late goal to give his side a 3-1
win in the first leg of the FA Youth Cup final against Manchester City.
With this goal, Solanke reached the 35-goal mark this season.
On 7 May, Solanke reached 41 goals for the season after scoring a hat-trick in a 4-3 victory over Liverpool U21.
Umefika wakati huyu kijana aanze kucheza epl, iwe Chelsea au aende kwa mkopo timu nyingine..
Mentor nadhani sio rahisi kupata mchezaji replica wa Hazard akawa upande wa kulia. Pili Hazard wawili wanaweza wasiwe productive sana kwenye timu kwa wakati mmoja. Lazima wawepo back ups behind him. nadhani ndio sababu ya Willian/Cuadrado. Pia nahisi ujuo wa Griezman utakuwa zaidi kumpa changamoto Diego kwenye striking kuliko Oscar kwenye namba 10. Hii itamfanya Diego kujituma zaidi kuliko kuwa na uhakika na position uhakika amba utampunguzia ile predatory nature na precision ya kufunga! na pia itamshape disciplinewise manake akipewa kadi atakuwa benchi na huwezi jua atakayecheza anaweza kuwa bora zaidi yako akachukua namba forever!!
Mentor nadhani sio rahisi kupata mchezaji replica wa Hazard akawa upande wa kulia. Pili Hazard wawili wanaweza wasiwe productive sana kwenye timu kwa wakati mmoja. Lazima wawepo back ups behind him. nadhani ndio sababu ya Willian/Cuadrado. Pia nahisi ujuo wa Griezman utakuwa zaidi kumpa changamoto Diego kwenye striking kuliko Oscar kwenye namba 10. Hii itamfanya Diego kujituma zaidi kuliko kuwa na uhakika na position uhakika amba utampunguzia ile predatory nature na precision ya kufunga! na pia itamshape disciplinewise manake akipewa kadi atakuwa benchi na huwezi jua atakayecheza anaweza kuwa bora zaidi yako akachukua namba forever!!
Costa ni predator in nature! Hahitaji tishio la mtu kufanya awe sharp!
Ila amin amin nakuambia, akija Griezmann, Oscar atasugua benchi..labda ashindwe ku-cope na EPL!