Manumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 1,746
- 1,283
Ntuzu, somehow nna imani moyoni mwangu kuwa Cech atabaki. hatoondoka. ingawa atamwomba Maurinho ampe walau games zaidi. nadhani hata yeye mwenyewe hataki kuondoka. ni basi tu fate ndo fate!! Nadhani heshima za hivi majuzi walizopewa Lampard, Drogba na ambazo zinamsubiri JT na yeye kama mwanadamu anazitamani. nina imani kubwa atabaki darajani mpaka 37 hivi!
Last edited by a moderator: