Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ndio maana na mimi nikauliza Mkuu, labla ndugu zangu Majogoo kina MosDef Janjaweed na Malafyale wanaweza kutia neno hapo, na JF's sports lady everlenk

Kiukweli kabisa tukiangalia ubora wa Coutnhio na Fabregas licha ya Cou kuwa na magoli zaidi ya Fabregas, Fab ni zaidi ya Cou... Lakini nani ni chumvi zaidi kwenye timu? Cou ni chumvi bila yeye kiukweli LFC hainogi, hapo juzi kati Fab alikosekana kutokana na majeraha lakini Chelsea haikuyumba tuliona iliendelea kujizolea point 3.

Costa na Hazard wako muhimu sana kwa timu na tumeona pengo la Costa katika hizi mechi alizokosa ingawaje Chelsea imeshinda lakini si katika ubora wake, Hazard is still hazard throughout this season absolutely deserve to be nominated.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom