Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu yule dogo so mwanetu tens tumesha m-disown Toto gani halina heshima kwa wazazi waliompa karibu kila kitu kwenye soka

Na siku akija the bridge tuna boo mpaka ajinyee

Jana nilisema Zouma anayajua na anayatimiza vema majukumu yake kuliko Luiz

Amekua Urojo sana... Kuwa defender ni zaidi ya kazi.
 
Last edited by a moderator:
Jana kakutana na watu wazima waliokomaa kuliko yeye, chezea Barca wewe!!!! Alifikiri Yuko na waleeee watoto ambao alipachika na kagol .......lol

Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mimi Simo!!!!!!!!............

-hahahahahahahhaahhahahah ile Header ya Luiz ilikuwa balaa. Ila ile Silva ndo ilinifanya mpaka kelele nikapiga.
-Sijui lini furaha ile itajirudia ila nadhani itajirudia J5 ndani ya Santiago Bernabeu.
 
Mkuu yule dogo so mwanetu tens tumesha m-disown Toto gani halina heshima kwa wazazi waliompa karibu kila kitu kwenye soka

Na siku akija the bridge tuna boo mpaka ajinyee

Jana nilisema Zouma anayajua na anayatimiza vema majukumu yake kuliko Luiz

Amekua Urojo sana... Kuwa defender ni zaidi ya kazi.

Kwa D. Luiz Mou alichemka na hili mnalijua japo hamtaki kukubali meanwhile aliwaumiza.
Jana DL hakuwa fit na ndo maana alianzia nje lakin baada ya Kiongozi kuumia wakaona haina namna isipokuwa kumtupia ndani.
Jamaa anaijua kazi yake vizuri
 
Last edited by a moderator:
Kwa D. Luiz Mou alichemka na hili mnalijua japo hamtaki kukubali meanwhile aliwaumiza.
Jana DL hakuwa fit na ndo maana alianzia nje lakin baada ya Kiongozi kuumia wakaona haina namna isipokuwa kumtupia ndani.
Jamaa anaijua kazi yake vizuri

Either hauipendi Chelsea au humjui David Luiz
Mara 10 ya Richard Dunne kuliko huyo Luiz
 
Richard Dunne yule wa QPR au kuna Dunne mwingine mkuu?
Mou kawachota akili kila analoliamua munaona ni sawa tu.
 
Huyo huyo wa QPR
Hoddle: Luiz defended like an eight-year-old who hasn't been coached http://dailym.ai/1ysGYXq

Kumhukumu Luiz kwa mechi ya jana ni makosa makubwa kwan jamaa kaingia akiwa majeruhi ni kama kipindi kile Man U wanamchoma sindano za ganzi W. Rooney against Bayern Munich 2010.

Though sijafanikiwa kusoma hiyo link sijajua ni kutokana na device au browser ninayotumia.
 
Jana kakutana na watu wazima waliokomaa kuliko yeye, chezea Barca wewe!!!! Alifikiri Yuko na waleeee watoto ambao alipachika na kagol .......lol

Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mimi Simo!!!!!!!!............

fumbo mfumbie mjinga mwanakwetu!!! ila jana nimesikitika kwa nini sio sisi tuliokuwa tnapaswa kucheza na Barcelona. Dunia nzima ingesimama kutazama mtanange wa karne. na jana tungekuwa Bridge. sijui saa hizi humu ndani post zingekuwa ngapi regardless na matokeo yake. nadhani page zingeshafika 1300!
 
Bahati mbaya mwanakwetu ndo ishapita hiyoooo mpaka msimu ujao tena.........
 
fumbo mfumbie mjinga mwanakwetu!!! ila jana nimesikitika kwa nini sio sisi tuliokuwa tnapaswa kucheza na Barcelona. Dunia nzima ingesimama kutazama mtanange wa karne. na jana tungekuwa Bridge. sijui saa hizi humu ndani post zingekuwa ngapi regardless na matokeo yake. nadhani page zingeshafika 1300!

Na haters wangejaa sn humu kah.
 
Kumhukumu Luiz kwa mechi ya jana ni makosa makubwa kwan jamaa kaingia akiwa majeruhi ni kama kipindi kile Man U wanamchoma sindano za ganzi W. Rooney against Bayern Munich 2010.

Though sijafanikiwa kusoma hiyo link sijajua ni kutokana na device au browser ninayotumia.

Ndiyo maana nikasema labla humjui David Luiz vizuri, DL yupo hivyo tangu akiwa Chelsea, Brazil na hilo la jana, haya soma hapa chini kidogo

Asked about Luiz's defending for Barcelona's third goal, the Sky Sports pundit said: 'Even if you're not 100 per cent fit you can't show that lack of intent.
'He's the last man on the pitch when Suarez picks the ball up and starts running at him. He realises he's the last man and the very last thing (you should do) when you're last man is jump in. You bide time for your team to get around you.
'He does what an eight year old who hasn't been coached does. He tries to win it by putting both of his feet together but when he does that he can't move anywhere. Suarez nutmegs him again.'
He added: 'For me he's a liability at the back. He always has been. You have to find a place (for him) in midfield or even at right back.
'He's a footballer who likes to play in the playground when there's no shape to the game. He's a talent but that's not what top football is about.'
 
Kwa hilo hata sikukatalii, kwani hata akiwa Chelsea tatizo hili lilikuwa linaonekana kwa kupenda kwake kucheza ndani badala ya kutimiza majukum yake ya kuzuia hasa akiwa anacheza nafasi ya mzuiaji wa mwisho(namba 5).
Tumeona akishindwa kuwapanga mabeki wenzake mechi na Germany wakapigwa wiki.
Jana pia kaonyesha hali hiyo kwani hata goli la pili, David Luiz alijipendekeza vibaya kama ilivyo kuwa goli la 3 ambalo alipendeza vibaya zaidi.
Shida yangu ni hii pamoja na mapungufu haya ya Luiz ambayo tumeyaona akiwa anacheza kama mzuiaji wa mwisho yanatosha kumfanya Richard Dunne kuwa bora mara 10 zaidi yake?
 
David Luiz unaweza sema anakuwa kama ana mashetani vile. kuna mechi anakipiga mpaka anaweza kuwa man of the match. lkn mechi itakayofuata atafanya vitu vya ajabu. consistency yake ni issue kubwa. no wonder maurinho alimuuza tena kwa inflated price!
 
Kwa D. Luiz Mou alichemka na hili mnalijua japo hamtaki kukubali meanwhile aliwaumiza.
Jana DL hakuwa fit na ndo maana alianzia nje lakin baada ya Kiongozi kuumia wakaona haina namna isipokuwa kumtupia ndani.
Jamaa anaijua kazi yake vizuri

Wewe ndo unajua mpira sasa, baadae nitakuja kukupa LIKE.
 
Hakuna cha baridi wala nini! Tunaongoza kwa pointi 7 na mechi moja mkononi. Hivyo hii mechi haina pressure kwa matokeo yoyote yale. I bet kipindi cha pili Drogba atatikisa wavu! Ukubwa dawa!

Man u walishaongoza point 10 mbele ya man city na akakutwa sasa nyie mna lipi la kujitetea?
 
Hatujali... Nani timu A, nani timu B.. Tunaburudika wote
cc Mentor Ntuzu
 
Attachments

  • 1429206195746.jpg
    1429206195746.jpg
    33.3 KB · Views: 111
Last edited by a moderator:
The PFA Player of the Year nominations are:

Eden Hazard - Chelsea
Diego Costa - Chelsea
Harry Kane - Tottenham Hotspur
Alexis Sanchez - Arsenal
David de Gea - Manchester United
Philippe Coutinho - Liverpool-

The PFA Young Player of the Year nominations are:

Eden Hazard - Chelsea-
Harry Kane - Tottenham Hotspur-
Philippe Coutinho - Liverpool
Raheem Sterling - Liverpool-
David de Gea - Manchester United
Thibaut Courtois - Chelsea-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom