everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Hahahaha!!! Mimi ninune wakati nakuja kuchukua heshima zangu hapo......mimi naona ndo nyie muda si mrefu mtaninunia..... b5-click anatamani hata anipige ngumi hapo alipo..... Lol usinichukie mpendwa wangu.Mi namtizama tu ujue.....maana mi naogopa nikianza kumpa zake ataninunia....na Mimi kununiwa na everlenk naona km adhabu lol.
We mpe tu uwezavo.
Last edited by a moderator: