the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,774
- 3,369
Hahahaha!!! Hilo sahau kabisa.......daraja lazima livunjweeee!!! Siku zote sikio halizid kichwaaa.......
Okay....
Chelsea ule upande Wa Willian kuna uwezekano mkubwa akapangwa Ramires kumsaidia Ivanovic...na pake katikati kuna uwezekano mkubwa Matic akapewa Zouma au Obi kuweka nguvu hapo kati kutokana na viungo Wa ManU Herrera, Fellaini na Carrick kua vzr kwa sasa.
Upande Wa kushoto atasima Azpilicueta peke Yake na mbele Hazard nafikiri Juan Mata hatoweza kumsumbua Azpilicueta na pia Anthonio Valencia hatoweza kupanda mbele sn hasa kwa kumhofia Eden Hazard..
Na nyuma ya Remy au Drogaba atasimama Fabregas...
Na centre back watakua Cahill Na Terry.
Mpk hapa unaweza kuona ni namna gani tutawadhibiti hawa watu kila idara.
Sub tunaweza kua na Willian, Oscar, Philip Luis Na Obi Na Cech Drogba au Remy..
Hapa utaona tuna uhai ata ktk sub.
Young rahisi sana kupiga cross had atulize mpira hapo iva anasubir nn?
Niko very specific na upande ninaoona jamaa wanaweza waka exploit your weakness, upande ambao wao on other hand, wako very strong.
Ukweli ni kwamba Ivanovic kashuka sana kiwango, akikutana na Young anayeburuza kwa kutumia mguu wa kulia ni faulo na kadi tu
Ukimuweka Ramires mbele yake ina maana utakaribisha mashambulizi zaidi kwa kumuacha Blind kupanda kusaidia mashambulizi, maana Ramires ni mkabaji zaidi
Niko very specific na upande ninaoona jamaa wanaweza waka exploit your weakness, upande ambao wao on other hand, wako very strong.
Ukweli ni kwamba Ivanovic kashuka sana kiwango, akikutana na Young anayeburuza kwa kutumia mguu wa kulia ni faulo na kadi tu
Ukimuweka Ramires mbele yake ina maana utakaribisha mashambulizi zaidi kwa kumuacha Blind kupanda kusaidia mashambulizi, maana Ramires ni mkabaji zaidi
Kumbuka young anatumia sana mguu wa kulia, sio maleft yule, akiwa anaburuza atakua anakutana na weak side ya Ivanovic, kama hatapiga krosi kama ile aliyomdondoshea Fellaini kichwani mwake Vs City, atakua na uwezo wa kuingia katikati na kuachia mishuti mikali au kutengeneza nafasi kwa Blind kupita nyuma ya Ivanovic
Sijui ni namna gani unamchukulia Ramires Na kusema kwamba ni mzuri ktk ukabaji tu...Mimi huyu Ramy naona ana uwezo wote...kukaba na kupeleka mipira mbele pia!
Umekubali mwenyewe kua huyu ni mzuri ktk ukabaji sasa huoni huyo Blind Na Young watashindwa kupita? Najua hoja yako ni kwamba km Willian akianza kutamfanya Blind asipande mbele kumsaidia Young...lkn km unaifatilia Man U kwa sasa hatutakiwi tuingia Na kikosi legelege...tunatakiwa kuweka chuma kabisa
Alafu Ivanovic kwa sasa amechoka hivo hatakiwi kupanda sn mbele ndio maana tunahitaji mtu atakaweza kumsaidia vzr huo upande... Lkn yote kwa yote Young hana kiwango cha kutisha km shughuli iliyopo kati kwa Felaini Na Herrera Na Carrick. Lkn huyu Mata Na Young hawajafika ata viwango vya Hazard Na Willian...
Ukiachia game ambayo tulifungwa na Tottenham, ni mechi ngapi zilizofuata tulifungwa kwa kupitia upande huo wa Iva?
Game ya juzi Cahill alipata kazi sana kwa kuwa Iva alikuwa anapanda sana kushambulia kutokana na ile pressure ya kutaka kufunga (game ilienda draw muda mrefu mno...refer alipokwaruzana na Drogba).
Ila ninachoamini upande huo uko vizuri sana...actually ninachowaza ni Mourinho anaweza akamsacrifice Cahill amweke Zouma na Terry. Ila kuonesha kiwango cha Iva hakijashuka, atacheza mecho zote 'kubwa'!!!!
Huwezi kuniambia eti Young atamsumbua Iva kiasi cha kutuogopesa sisi aisee..no way unless unaongea kishabiki. Ni tofauti sana Zabaleta na Clichy na Iva + Cahill.
Wacha kutwist maneno Ntuzu, nimesema Ramires ni mkabaji zaidi, sijasema ni mzuri katika ukabaji tu, tungo mbili zenye maana mbili tofauti.
Tuongee Man Vs Chelsea, game 1 pale Old Trafford ni huyohuyo Ivanovic alipewa red card na kusababisha faulo iliyozaa goal, huu si ushabiki, ni facts Mkuu
Ashley Young ana reputation ya kufanya simulation, lakini pamoja na hayo ana kasi, chenga na lethal right foot, Ivanovic wa siku hizi sio yule aliyeanza ligi na anavyopenda sana kushambulia ndio atawapa kina young nafasi ya kufanya counters kupitia upande wake
tukishamweka Zouma/Obi pembeni ya Matic wala sidhani kama kuna tena haja ya kumweka Ramires wing ya kulia. itakuwa too much respect kwa Man U ambayo they dont deserve. tutakuwa tumekaa very defensive. kulia ataanza Willian kama kawaida, ili amzuie Blind kupanda na kumlazimisha Young kushuka kumpa support Blind. Kushoto itakuwa ni ile Hatari (Hazard) kama kawa na huko ndo Man U attention yao yote itakuwa imekaa. Nyuma ya Striker atakuwa Fabrigas kama kawaida na striker ataanza Remy ili awakimbize na kuwatanua zaidi J1 hamsimami Man U...nawahurumia manake mji utajaa watu waliojaa hasira ,.. na mlivyo wengi hapa mjini!
At least Manumbu umanijibu kwa hoja mujarabu kabisa
Na kwa kuongezea, ningekua mwana chelsea au ningeweza kuchagua kikosi, Ivanovic angecheza katikati na Terry, full backs wangu kulia Azplicueta na kushoto Luis
Azplicueta to me is the best FB in the EPL na cha ajabu jamaa anaweza kucheza vizuri on either side of the pitch, kasi yake na no nonsense attitude anapokaba angemfanya Young kutolewa wakati wa HT, huku kushoto hakuna shida maana Mata laini laini sana na asingemsumbua Luis kwa akili wala kasi au ubavu, then mbele ya hawa jamaa wakiwepo Hazard na Willian, hata huyo Fellaini wanaomwogopa kina Ntuzu asingegusa mpira, angeishia kurusha viwiko tu na kupewa kadi.
Duuuh... Filauni, Dada maria, uRojo, mzee small, Dada gea na Herrena ndo wanakutia kiburi kumbeee!??
Utaweka chata kitabu cha wageni.. Lakini lazima nikupige sahihi yangu... Pale ndo darajani mama.
Karibu Darajani
Mentor Ntuzu b5-click na Manumbu, how do you plan on stopping Red Devils' left wing of Young and Blind?
Maana Man Utd huwa wanachezesha kigodoro upande huo wa uwanja (waulizeni City) na kama sikosei match yenu ya Spurs mliyokula bao 5, magoli kama 4 yalipitia upande huo (kulia kwenu kwa Ivanovic na Cahili) sasa what are the plans Wakuu?
Ana nuna sn huyo wewe ulikua hujui? Na kumfanya afurahi mpk umtajie jina la bibi Yake....wewe utamjulia wapi nyanya ake? Pole...
Muulize BAK anajua vzr sn.
Haya bana ila kununa Ntuzu ananisingizia...... Mgeni ni dawa subiri hiyo jmos nikupe dawa ya kuchukua EPL vizuri japokuwa ni chungu sana ila ndo ponapona yako......
Lenk nipo nawe katika hili...daraja litavunjwa tu. Tena mara mbili...ya kwanza ni hapo hapo darajani na ya pili ni kwa njia ya bunduki toka kwa wapiga risasi wa London.
At least Manumbu umanijibu kwa hoja mujarabu kabisa
Na kwa kuongezea, ningekua mwana chelsea au ningeweza kuchagua kikosi, Ivanovic angecheza katikati na Terry, full backs wangu kulia Azplicueta na kushoto Luis
Azplicueta to me is the best FB in the EPL na cha ajabu jamaa anaweza kucheza vizuri on either side of the pitch, kasi yake na no nonsense attitude anapokaba angemfanya Young kutolewa wakati wa HT, huku kushoto hakuna shida maana Mata laini laini sana na asingemsumbua Luis kwa akili wala kasi au ubavu, then mbele ya hawa jamaa wakiwepo Hazard na Willian, hata huyo Fellaini wanaomwogopa kina Ntuzu asingegusa mpira, angeishia kurusha viwiko tu na kupewa kadi.
Duuuh... Mama uje tu PM unitajie hilo jina.. naogopa kununiwa.. Hapa kwangu watu wakinuna huwa nahisi ka nipo kozi napiga kazi za watu.. Pachunguuuuu
Hahahahahah... everlenk na Eli79 hata mateka huwa wanapeana support wakizani wanaweza kutoroka... Niandalieni point 6 zangu.. Nimechoka kuwafuga hizo point ni halali yangu jamani
Mwanetu Luiz hamna kitu... Nakumbuka zile 7 za WC... Na Jana pia..