ligera nakubaliana na wewe hasa ktk maswala kadhaa.
Swala la kwanza huo mchezo ata sare ni nzuri kwetu ndio maana tunatakiwa kujirinda Zaidi. Huku kujirinda kunatakiwa kujengwe kwa viungo imara Wa kati kwa Matic na Obi kucheza pale kati then nyuma ya Remy acheze Faby...hii itapunguza uimara Wa ManU kwa katiksti. Kwasababu wakipangwa viungo wawili ma DM watampunguzia kz Faby ya ukabaji na kubaki mbele akimsaidia Remy kutupia.
Na pili winga za ManU sio tishio sn. Huyu Young na Mata watakumbana na Azp na Iva.....lkn kz kubwa atakua nayo Valencia kwa Hazard na Blind kwa Willian...ila Mimi ningependa sn kumuona Ramires akicheza winga kulia na Willian kuanzia bench hasa baada ya kuwasoma wenzetu.
Tunahitaji kua na kikosi kigumu kweli kweli kuhakikisha Fulaini na wenzake wanakua vibonde!
ni ushauri mzuri kwani tukishinda game ya man tutakuwa tumekaa pazuri zaidi hivyo kujihakikishia ubingwa mapema
Last edited by a moderator: