Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu nakubaliana na wewe sn ktk hilo na huenda Mou akampanga ktk huo mchezo akiwa pacha Wa Matic....na km asipompanga tarehe 18 basi ule mchezo na Arsenal pale Emirates Mou atampa.

Vp kuhusu Faby na Oscar na Ramires na Willian.....wewe ungependa nani aanze? Na ukumbuke ktk bench la sub lazima tuwe na uhai kidogo.

Kwa Hazard na Remy au Drogba huko hakuna shida...atakavopanga Mou ni sawa tu. Ata kwa beki hakuna shida ingawa Mou anaweza Fanya mabadiliko kwa Azp na Luis au Cahill na Zouma. Lkn vyovote atakavopanga huku kwa mabeki ni sawa tu! Mambo yapo kati hapo.
Sijui unaonaje Mkuu!?

Kiukweli mechi ni kubwa na Blaza Josee inabidi afikirie kikubwa... Ushindi muhimu.

Tunapataje Ushindi!!??... Kwanza itabidi tuwazuie/tuwadhibiti wasitubuguzi kabisa.. Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa huyu MSWAHILI wetu akicheza na matic pale mbele ya Terry na Cahil..

Pili.. Itabidi tutengeneze nafasi na kushambulia kwa kasi ili tuvichanganye vile vitoto vya utd... Bila shaka mbele ya matic na Obi tunawahitaji eden hazard "MAJANGA"... THE MASK MAN... W22
mbele pale sasa.. Ili tuendane na kasi ya huo u-tatu mtakatifu tunamuhitaji REMY...Hahahahahah magoli lazima aseeeh

Mkubwa na wanae aanze benchi pamoja na mwanae Oscar na Ramirez na Zouma...

Baada ya kuwapiga wakijifanya wanajua... Tunaweka Zouma na Ramirez kwa matic/Obi na W22

Hivi lile suala la kubet vipi!?? Mkuu wa kaya Invisible hayupo TZ... Man U anaetaka tubeti ajeeeeeh.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu b5-click, hii mechi ili tuwaweze vizuri hawa jamaa kitu cha kwanza kabisa ni dhibiti uwelewano wa Carrick na Herrera iwezekanavyo, ambapo hapo ndo kweli naona Mikel/Zouma mmoja ataanza pembeni mwa Matic.

Tukiweza hivyo lazima itamlazimu Rooney/Fellain aingie kati kutafuta mipira, hivyo mbele kunakuwa wazi kidogo.......na wakati huo lazima W22 na Hazard wawalazimishe Valencia na Young kutopanda mbele

Tukifanikiwa hivi hawa watu hawatatoki hata iweje
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli mechi ni kubwa na Blaza Josee inabidi afikirie kikubwa... Ushindi muhimu.

Tunapataje Ushindi!!??... Kwanza itabidi tuwazuie/tuwadhibiti wasitubuguzi kabisa.. Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa huyu MSWAHILI wetu akicheza na matic pale mbele ya Terry na Cahil..

Pili.. Itabidi tutengeneze nafasi na kushambulia kwa kasi ili tuvichanganye vile vitoto vya utd... Bila shaka mbele ya matic na Obi tunawahitaji eden hazard "MAJANGA"... THE MASK MAN... W22
mbele pale sasa.. Ili tuendane na kasi ya huo u-tatu mtakatifu tunamuhitaji REMY...Hahahahahah magoli lazima aseeeh

Mkubwa na wanae aanze benchi pamoja na mwanae Oscar na Ramirez na Zouma...

Baada ya kuwapiga wakijifanya wanajua... Tunaweka Zouma na Ramirez kwa matic/Obi na W22

Hivi lile suala la kubet vipi!?? Mkuu wa kaya Invisible hayupo TZ... Man U anaetaka tubeti ajeeeeeh.

Tushabet humu weeee mpaka tumechoka iliyobaki ni vitendo tu....... Ntuzu mpe maelezo mwenzio afanyeje.......

Pangeni tu kikos chenu muwezavyo lakini kipigo hamkikwepi.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Carrick anawanyima usingiz? Hata asipokuwepo kipigo kinawahusu.

Ni mchezaji anayetimiza majukumu yake ipasavyo, hivyo ni muhimu kumuharibia......

Maana ye akiwa kwenye kiwango kizuri ndo utaona hata Herrera na Mata nao wanakuwa kwenye kiwango kizuri......
 
Tushabet humu weeee mpaka tumechoka iliyobaki ni vitendo tu....... Ntuzu mpe maelezo mwenzio afanyeje.......

Pangeni tu kikos chenu muwezavyo lakini kipigo hamkikwepi.

Mamito nimekwambia b5-click ndo anakuweza wewe...umeona anakwambia MKUBWA NA WANAE? Yani Leo Mimi nacheka kweli.

Kiukweli mechi ni kubwa na Blaza Josee inabidi afikirie kikubwa... Ushindi muhimu.

Tunapataje Ushindi!!??... Kwanza itabidi tuwazuie/tuwadhibiti wasitubuguzi kabisa.. Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa huyu MSWAHILI wetu akicheza na matic pale mbele ya Terry na Cahil..

Pili.. Itabidi tutengeneze nafasi na kushambulia kwa kasi ili tuvichanganye vile vitoto vya utd... Bila shaka mbele ya matic na Obi tunawahitaji eden hazard "MAJANGA"... THE MASK MAN... W22
mbele pale sasa.. Ili tuendane na kasi ya huo u-tatu mtakatifu tunamuhitaji REMY...Hahahahahah magoli lazima aseeeh

Mkubwa na wanae aanze benchi pamoja na mwanae Oscar na Ramirez na Zouma...

Baada ya kuwapiga wakijifanya wanajua... Tunaweka Zouma na Ramirez kwa matic/Obi na W22

Hivi lile suala la kubet vipi!?? Mkuu wa kaya Invisible hayupo TZ... Man U anaetaka tubeti ajeeeeeh.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Carrick anawanyima usingiz? Hata asipokuwepo kipigo kinawahusu.

Kusema ule ukweli Michael Carrick ndio roho ya timu hapo ManU kwa sasa hasa ktk viungo wote. Na huyu jamaa aliporudi ktk timu ndio unaona sasa ManU inafanya vzr.

Binafsi nampenda sn huyu jamaa hasa ktk aina ya uchezaji wake.

Ni waingereza wachache sn wanaomudu nafasi hii kiufasaha Zaidi ukiondoa kina Paul Schols na Lampard na Owen Hagrives...hawa kina James Milner, Berry wanajaribu tu.

Carrick yuko pouwa sn......
 
Sawaaaa....halafu ukiendelea ntazileta zile picha unajua, lol

Tarehe 18 ndo tutajua je sikio linazidi kichwaaa??????
Ntuzu unatishiwa huku... Eti "UKIENDELEA" atazileta "ZILE PICHA"... everlenk mama unavitisho kama jeshi la Malawi... Hahahahah

Unamjua MKUBWA NA WANAE lakini!!??
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu unatishiwa huku... Eti "UKIENDELEA" atazileta "ZILE PICHA"... everlenk mama unavitisho kama jeshi la Malawi... Hahahahah

Unamjua MKUBWA NA WANAE lakini!!??

Hahahaaa b5-click huyu mtani anataka Kuleta zile picha za watoto Wa Chelsea wakimlilia refa ktk game ya PSG baada ya IBRA kuleta shida.
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa kwa huo Mfano wako mi nataka kujua nani sikio nani kichwa...😉

Hahahaaa wewe zilete tu mtani.....

Sikio halizidi kichwa ata siku moja ukiona limezidi kichwa ujue hilo sikio la tembo.....lol.
Ntuzu nashukuru umekubali hiyo sentesi... kunguru mjanja naomba unikumbushe hiyo tarehe 18 baada ya mechi nikwambie nani ni sikio na nani kichwa........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom