Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

277CAB9400000578-3035739-image-a-29_1428847464912.jpg

THE BOSS WAS THERE...

277CF0B400000578-3035739-image-a-25_1428847458589.jpg

HE REJECTED QPR AND JOINED THE CHAMPIONS...

277CE8CD00000578-3035739-image-a-24_1428847070922.jpg

HUYU JAMAA ALIKUWA APEWE KADI MDA MREFU TU....ZILE ATTACKS KWA KIPA ZILIKUWA 100% INTENTIONAL. (CHARLIE AUSTIN)

277CCFC500000578-3035739-image-a-16_1428845810818.jpg

CAHILL LAZIMA ALILALA NA BARAFU MIGUUNI...

277CBA5200000578-3035739-image-a-13_1428844640015.jpg

BOBBY ZAMORA AKIENDA TIMU INAYOJIELEWA ATAKUWA BONGE LA MCHEZAJI...

277CAF6700000578-3035739-image-a-11_1428844257558.jpg

NGUVU NYINGI AKILI KIDOGO (CLINT)

277CA90C00000578-3035739-image-a-8_1428843726268.jpg

CAPTAIN, LEGEND, LEADER...

277C92F800000578-0-image-a-6_1428843285367.jpg

WELL KWA UMRI WAKE SIWEZI KUMLAUMU...

277C926000000578-0-image-a-4_1428843244594.jpg

ALIANZA VIBAYA ILA KAMALIZIA POA SANA...

277C8CA000000578-0-image-a-3_1428843046467.jpg

THIS LITTLE GUY LAZIMA AINGIE TIMU YA MSIMU...BEST LEFT BACK IN THE LEAGUE SO FAR

277CD47300000578-3035739-image-a-21_1428846450242.jpg

AUSTINOOOOOO..

277CD47700000578-3035739-image-a-19_1428845995004.jpg

NDO MAANA NASEMA CAHILL JANA ALICHOKA SANAA...

277DE10600000578-3035739-image-a-59_1428850031625.jpg

MVUMILIVU HULA MBIVU...

277DC5B300000578-3035739-image-a-44_1428848506260.jpg

THE MASK MAN...

277DCEBD00000578-3035739-image-a-54_1428849029068.jpg

A BRIEF MOMENT WHEN HAZARD SHONE..MADE NO MISTAKE! SURELY HE IS THE PFA PLAYER OF THE YEAR.

Big up sana kwa Blues wote. mechi ya jana ilikuwa ngumu sana. physicality ya QPR iliujaza kabisa uwanja wao mdogo mpaka kukawa hakuna sehemu ya kupenya. jamaa walijipanga vizuri sana walau wasifungwe. the fact kwamba tumewafunga tena vile jioni jioni ni dalili za kutulia kwetu (mental Strength) na of course adabu ya bingwa.

Game zilizobaki ni rahisi zaidi. Mechi ya Man U na Arsenal zitakuwa rahisi zaidi kwetu. wapinzani watataka ku prove a point wakati sisi tunacheza kwa malengo yetu tu na sio kuprove point kwa mtu yoyote, kama alivyosema Maurinho. Hatuna haja ya kuchanja mbuga ili tuwaache point 15, lakin itunataka tu ushindi ili tupate ubingwa. kwa hiyo tutakuwa more relaxed and focused na tunayotakiwa kuyafanya uwanjani kutimiza malengo yetu. tuko vizuri sana

Binafsi najua tukimaliza hiz imechi 2 mbele yetu tutakuwa mabingwa tayari. sio lazima tupate point 9 wakati tutakuwa tumewafunga immediate title contenders. tayari tutakuwa tumemaliza kazi!! kombe letu tutapewa na Liverpool wakitushuhudia!!!
what a specter!!!!
 
Manumbu ungependa tucheze mpira Wa aina gani na ManU physical football au?. Na ungependa ktk nafasi ya viungo Wa kati apangwe nani na nani?
 
Last edited by a moderator:
Manumbu ungependa tucheze mpira Wa aina gani na ManU physical football au?. Na ungependa ktk nafasi ya viungo Wa kati apangwe nani na nani?

If you asked me: squad iliyocheza jana ndiyo icheze weekend ILA TU sehemu ya Ramires acheze Oscar! Hapo tu!!! Game ya Man UTD pia kama Remy atakuwa fit basi angeanza then Drog the BA aje kumalizia mtanange dakika za 75 hivi.

Ni hayo tu kwa sasa...
 
Kumbuka Mentor hatuhitaji kupoteza huu mchezo hivo basi draw au kushinda ni matokeo mazuri kwetu..na kwa kikosi cha ManU hasa sehemu ya kati Wanaonekana kua imara. Sasa tupange vp hapo kati Mkuu!

Kweli kikosi cha chana kikopouwa lkn tunahitaji nguvu kidogo na uimara Zaidi hasa kwa eneo la ulinzi na viungo ili tuwe salama Zaidi. Wewe unaonaje Mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Manumbu ungependa tucheze mpira Wa aina gani na ManU physical football au?. Na ungependa ktk nafasi ya viungo Wa kati apangwe nani na nani?

mkuu ntuzu afadhari tucheze defensive game kwa sababu hatupo vizuri sana kama mwanzoni mwa ligi na sijui hasa kwa nini mkuu hivyo tukicheza offensive game tunaweza kufungwa japo man si wazuri kivile . Ipo haja ya mikel kuanza game hiyo
 
Last edited by a moderator:
Manumbu ungependa tucheze mpira Wa aina gani na ManU physical football au?. Na ungependa ktk nafasi ya viungo Wa kati apangwe nani na nani?

If you asked me: squad iliyocheza jana ndiyo icheze weekend ILA TU sehemu ya Ramires acheze Oscar! Hapo tu!!! Game ya Man UTD pia kama Remy atakuwa fit basi angeanza then Drog the BA aje kumalizia mtanange dakika za 75 hivi.

Ni hayo tu kwa sasa...

Mbona Mmeanza kuweweseka mapema!!? Man utd noma
 
Last edited by a moderator:
mkuu tuna mechi ngumu bado,man u,arsenal,na liverpool

Ila chelsea huwa haisumbuliwi na timu kubwa. Man u wataangukia pua darajani. Arsenal na liverpool hao wote ni "darajaphobic"! Wakisikia darajani tayari kihoro kinawashika. Ila timu ndogo kama QPR zenyewe hazina cha kupoteza, Hivyo kuleta usumbufu fulani.
 
mkuu ntuzu afadhari tucheze defensive game kwa sababu hatupo vizuri sana kama mwanzoni mwa ligi na sijui hasa kwa nini mkuu hivyo tukicheza offensive game tunaweza kufungwa japo man si wazuri kivile . Ipo haja ya mikel kuanza game hiyo

ligera nakubaliana na wewe hasa ktk maswala kadhaa.
Swala la kwanza huo mchezo ata sare ni nzuri kwetu ndio maana tunatakiwa kujirinda Zaidi. Huku kujirinda kunatakiwa kujengwe kwa viungo imara Wa kati kwa Matic na Obi kucheza pale kati then nyuma ya Remy acheze Faby...hii itapunguza uimara Wa ManU kwa katiksti. Kwasababu wakipangwa viungo wawili ma DM watampunguzia kz Faby ya ukabaji na kubaki mbele akimsaidia Remy kutupia.

Na pili winga za ManU sio tishio sn. Huyu Young na Mata watakumbana na Azp na Iva.....lkn kz kubwa atakua nayo Valencia kwa Hazard na Blind kwa Willian...ila Mimi ningependa sn kumuona Ramires akicheza winga kulia na Willian kuanzia bench hasa baada ya kuwasoma wenzetu.

Tunahitaji kua na kikosi kigumu kweli kweli kuhakikisha Fulaini na wenzake wanakua vibonde!
 
Last edited by a moderator:
Manumbu ungependa tucheze mpira Wa aina gani na ManU physical football au?. Na ungependa ktk nafasi ya viungo Wa kati apangwe nani na nani?

Kwangu Mimi... Kikosi kisiguswe... Labda kama Remy akipona anaweza kuja dimbani ama kama vipi akatokea bechi kama kawa.. King.. Mkubwa na wanae yupo.

Oscar aanze bench.. Ili akiwa anaingia awe ameshajua cha kufanya pale kati.. Kama Jana tu.

Cuadrado.. Blazaa Jose asitake kuprove yuko right kwa huyu bwana mdogo.. Atuachie W22 apige kazi.

John Obi Mikel.. Natamani kumuona MSWAHILI huyu kwenye hii mechi... Ila hata akitokea benchi inafaa bado.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom