everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Mtaedit sana mwaka huu, tarehe 18 siyo mbali.......
Last edited by a moderator:
Mtaedit sana mwaka huu, tarehe 18 siyo mbali.......
Manumbu approach yoyote ile ni sawa na huo uwezo Wa kucheza hivo tunao sn...
Lkn swala langu ni kwamba Mou anaweza kuamua approach gani ktk huu mchezo na ManU kutokana na uzoefu wako kwa Mou?. Najua ktk mchezo Wa Arsenal tutakua defensive sn pale Emirates kuliko huu Wa Utd.
nadhani Mou atatumia approach ya Mentor ya kwenda kasi mwanzo mwisho. kwa nini nawaza hivi? kwanza atataka kutoa statement ya kufungia msimu. alianza na statement of intent na kuanza kwa ushindi na mpira wa kasi. nadhani atataka kufanya hivyo hivyo na hakuna timu nzuri kutoa statement kama hiyo kwa bosi wake wa zamani LVG. Pili japo Man u wanataka kujifanya wanakimbiza, hawana mkimbiaji zaidi ya Young. wengine Herrera, Mata, Fellaini, Rooney, Di Maria, Falcao, RVP hawana kasi kihivyo. watategemea zaidi 'kuvizia' kwa Fellaini na Mata kwenye midfield wakiwa wamepanda mbele ya duara la kati. lengo likiwa ni kumlazimisha Faby akumbuke na abaki zaidi na jukumu la ukabaji kuliko kwenda kutoa mapande ya magoli. lkn kama attaching midfield watakuwa na kasi tunayoizungumzia mimi na Mentor, itabidi Carling na Herrera waongezewe msaada maana pale kati nyuma Smalling, Jones wako weak sana, na kwa nguvu za Drogba watapata shida kuzuia penetrations za Hazard, Oscar, Willian na Fabrigas.
Kama ningekuwa mshabiki wa Man U, nisingependa kabisa kucheza na Chelsea hii sasa hivi. Bora nicheze nao wakiwa wameshatangazwa mabingwa tayari!!!
Ntuzu kuna kale kagwaride kwa EPL ambako bingwa hupita katikati ya timu pinzani anayocheza nayo kama atakuwa ameshatangazwa bingwa. Naiona hii ikitokea siku tukicheza na Liverpool. Ningependa kuona sura ya Brendan Rodgers siku hiyo....SIjui akina Malafyale nao watapiga saluti humu jukwaani au utakuwa ubishi wa jadi kama kawaida yao...
Ila chelsea huwa haisumbuliwi na timu kubwa. Man u wataangukia pua darajani. Arsenal na liverpool hao wote ni "darajaphobic"! Wakisikia darajani tayari kihoro kinawashika. Ila timu ndogo kama QPR zenyewe hazina cha kupoteza, Hivyo kuleta usumbufu fulani.
Shetani lenu na jambia lake limezoea sn kumwaga damu kila chumba likiingia lkn ktk chumba cha Chelsea Mourinho kalizimisha!
Hiyo picha kiboko...mkiweka tu ile yenu na sisi tunatupia yetu.
Uzuri hiyo yenu ni ya kufikirika haijatokea bado, sisi ni kitu live........
Manumbu hako kagwaride nakafahamu Mkuu...ila huyu ndugu yetu Malafyale atakua Wa kwanza kutupigia salute!
Ni kweli Mkuu...kuwashambulia sn ndio njia ya kuwazuia Utd na tunahitaji vijana wanaoweza hiyo kz siku hiyo....
Niwashukuru wote mliotoa maoni yenu mazuri Mentor b5-click ligera na wewe Manumbu......tuendelee kuwepo mpk siku ya game!
#KTBFFH
Afu mwanetu Branna aliwategea tu sikio... Hana hata muda nao... Thanks the mask man.
Manumbu ungependa tucheze mpira Wa aina gani na ManU physical football au?. Na ungependa ktk nafasi ya viungo Wa kati apangwe nani na nani?
Watashindanaaaaaa lakini hawatashindaaaa!!! by power by force kitaeleweka!!!!!...........tarehe 18 ifike tu ....Lol
Chelsea anzeni kuzoea huzuni maana yaliyomkuta City jana yatawahusu. Suala lililopo ni kujitahidi kupunguza idadi ya mabao tu.
Watashindanaaaaaa lakini hawatashindaaaa!!! by power by force kitaeleweka!!!!!...........tarehe 18 ifike tu ....Lol
Shetani lenu na jambia lake limezoea sn kumwaga damu kila chumba likiingia lkn ktk chumba cha Chelsea Mourinho kalizimisha!
Hiyo picha kiboko...mkiweka tu ile yenu na sisi tunatupia yetu.
tunahitaji points 11 win 3 Draw 2 tuwe mabingwa
tukishawapiga Man U na Arsenal hatutohitaji tena points 11. kwa sbb hawa ndio title contenders waliobaki besides us. so tukishawaweka mzambwani, tutahitaji kuwafunga Leicester tu tutangazwe mabingwa. ndio maana nataka siku na Liverpool, wakiri kuwa cc ni mabingwa full stop!
Chelsea 3 Shakhtar Donetsk 2pole wa kwetu. sipendi kucheza na wewe saa hizi. lkn kama nilivyokwisha kueleza kabla, come Saturday next you may reserve your beautiful smile for sth else. usiitazame hii mechi. iulizie tu come j2. sipendi kukuona una huzuni...