Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

timu 20 zipo kwenye premier league zote zipo vuzuri. Isipokuwa inategemeana na siku hiyo mnacheza kuwafurahisha mashabiki (show game) au mnataka kushinda. Hakuna mechi rahisi liji hii asikudanganye mtu na wala usifananishe mechi moja na nyingine. Na wala msipange kikosi chenu kwa minajili ya kuangalia mechi ya leo mtalia. Kila mechi ina umuhimu wake na tactics zake ni tofauti kutegemeana na timu pinzani.

Umeongea vyema sana Mtani ndo maana na mimi nakukatalia ukiniambia utanifunga hundred percent, kwa watoto wa kitaa tunajisemea hii EPL imevaa kimini yoyote anaweza kutegeka..... Lol
 
Wewe unajifurahisha sn....huo mchezo Drogba na Remy wote watakua wako fiti
Ntuzu
Nimepokea habari kuwa kipa wa QPR amepokea "zawadi ya bahati nasibu" kutoka kwa "Chelseakevic", Kanusha.

Pia kuna mchezaji wa Chelsea anacheza mpira wa mikono katika box lakini Refa anajifanya kuvaa miwani ya jua. Au nae pia ameshinda bahati nasibu?

Naona kuna ka-trend hapa ambako kanatia wasiwasi jinsi Chelsea anavyotaka apewe ndoo.

Lakini kisiki kipo pale pale. Mtalia huu mwaka.

Ilipofika dakika 85 ulionekana kuaga kuwa unaelekea kwenye ile baa aliyokwenda Malafyale au wanaongopa wadugu zako?
 
Hahahahaaa nashukuru Nonda ulinielewa pale nilipokuambia ata tukishinda uje tupige story...asante sn Mkuu!

Usiwe unakuja wakati Wa misiba tu....njoo ata km ulivyokuja Leo.

Hakuna kisiki wewe mbele ya Chelsea
 
Kwanini mnalalamika kuwa kipa alitupa Goli?lile goli tulilifunga kiufundi zaidi,tuliwasubiri wajae golini ili wakose sababu ya kumlaumu mlinda mlango!Hence "Green"become "Blue"teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom