siyo rahisi kihivyo. kucheza na timu inayoshuka daraja unatakiwa kuwa na nidhamu.
Siyo mechi hii tu, fuatilia mechi kadhaa zilizopita.
Point 3 zinapatikana lakini performance mbovu.
Kwa performance hii napata ujasiri wa kusema tutalibomoa daraja tar 18
siyo rahisi kihivyo. kucheza na timu inayoshuka daraja unatakiwa kuwa na nidhamu.
Hahahahahahaha!!! Mpaka goli liingie ndo usumbue........
Mnajua kucheza na timu inayokaribia kushuka daraja ni sawa na kupambana na GAIDI... Tena kwao ni hatari zaidi... Ila shukurani kwa washkaji zetu... Pasingekalika humu
Kwa performance hii napata ujasiri wa kusema tutalibomoa daraja tar 18
Siyo mechi hii tu, fuatilia mechi kadhaa zilizopita.
Point 3 zinapatikana lakini performance mbovu.
Kwa kiwango gani mlichonacho mtani? Next weekend siyo mbali.......
Naombea msiba pande hizi tuje kutoa pole tu
mimi nakubaliana na wewe timu yetu wacheza hawana ari ile ambayo tulizoea yaani wamechoka utafikiri usiku waliingiliwa