Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Hah ah haaaaaaaaa!!!Kuna kalimanzila mmoja uko Africa magharibi ametabiri kua utapokonywa ubingwa kimaajabu kabisa na gunners
Tufiakwaaaaaaa abomination ooooooo
Hah ah haaaaaaaaa!!!Kuna kalimanzila mmoja uko Africa magharibi ametabiri kua utapokonywa ubingwa kimaajabu kabisa na gunners
Asanteni sana ndugu zangu kwa maombi yenu, hakika yamenisaidia hata nimeweza kuinuka na kuwasalimu hapa, Mungu awabariki sana
everlenk ni zaidi ya mdau kwangu,huyu ni dada yangu na ni mwana dada ambaye haogopi kusema kile anacho amini kuwa ni kweli
Kama kuna mtu anajua namba yake pls aniandikie chemba!!Pole sana dada
Get well soon sisAsanteni sana ndugu zangu kwa maombi yenu, hakika yamenisaidia hata nimeweza kuinuka na kuwasalimu hapa, Mungu awabariki sana
Hah ah haaaaaaaaa!!!Kuna kalimanzila mmoja uko Africa magharibi ametabiri kua utapokonywa ubingwa kimaajabu kabisa na gunners
Vyovyote vile itakavyokuwa kubalianeni vizuri na Mentor, Haya nipeni mchakato nimesoma juu juu tu, bet ni kwa mechi gani na nani anapewa na iko vipi?
Hayo ni mawazo mazuri sana, hongera sana Mentor siyo mambo ya kujipiga ban jukwaaa litabaki empty kila mtu ni muhimu sana humu, kwahiyo hiyo bet ni against mechi ya Chelsea siyo?