Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahahahaa kaka yako kiboko!

Karibu an everlenk tupo hapa tunajaribu kutafakuri hali ambayo inaweza kuwakumba wachezaji wa timu yetu Faby na Matic! Mzima lkn?

Mimi mzima hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yang nikinywa maji nakuona kwenye glass,lol

Doh!! Adui muombee njaa vijana hao wakosekane tu tuwachape tu,lol
 
Last edited by a moderator:

Duh....! Aisee wewe kwa mistari ni kiboko! Umenikumbusha enzi zileeeeeee unaandika barua alafu unaichora kopa kubwa yenye mshale katikati..
....hahahahaaaaa ilikua kiboko BAK anafahamu vzr mambo haya lol!

Yaaah ni kweli kuna hali Fulani ikitokea kwa hawa wachezaji wetu mambo yanaweza kua sio na ukumbuke tayari The Beast au Diego Costa hatokuwepo nafikiri mpk msimu huu uishe kutokana na kuumia juzi kwa Stoke City!
Lkn bado tuko pouwa kabisa kutokupoteza hiyo michezo!
 
Last edited by a moderator:
Uzuri wa timu yetu yanayoongelewa mdomoni yanawezekanika uwanjani...sio kama timu ileeeee ya Malafyale #headlessChicken

Hahahaha!! Walilewa na ushindi wa January na February wakajiona wako top kumbe walikuwa hawajakutana na vigongo, sisi tumemaliza kazi yetu,Arsenal nao ,kazi kwenu tunategemea mtaendeleza mila iliyoanzishwa nasi Lol.
 
Last edited by a moderator:
Duh....! Aisee wewe kwa mistari ni kiboko! Umenikumbusha enzi zileeeeeee unaandika barua alafu unaichora kopa kubwa yenye mshale katikati..
....hahahahaaaaa ilikua kiboko BAK anafahamu vzr mambo haya lol!

Yaaah ni kweli kuna hali Fulani ikitokea kwa hawa wachezaji wetu mambo yanaweza kua sio na ukumbuke tayari The Beast au Diego Costa hatokuwepo nafikiri mpk msimu huu uishe kutokana na kuumia juzi kwa Stoke City!
Lkn bado tuko pouwa kabisa kutokupoteza hiyo michezo!

Hahahaha, Najaribu kumaliza pasaka yangu .

Ila bado bunduki zenye risasi mnazo Mou ashindwe mwenyewe, ila na nyie mpunguze mieleka maana inawacost sasa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, Najaribu kumaliza pasaka yangu .

Ila bado bunduki zenye risasi mnazo Mou ashindwe mwenyewe, ila na nyie mpunguze mieleka maana inawacost sasa.

Hiyo ni kampeni tu ya waamuzi wa EPL na sijui itaisha lini....mieleka sisi hatucheza. Tunacheza mpira safi kabisa km wa Fc Barcelona lol!
 
Mimi mzima hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yang nikinywa maji nakuona kwenye glass,lol

Doh!! Adui muombee njaa vijana hao wakosekane tu tuwachape tu,lol

Hatari ktk ile Sanaa...

Adui usimuombee njaa.. Muombee mafanikio ili upambane nae vema
 
Good Mentor.

Na uzuri ni kwamba Obi ameshapona kabisa na hiyo michezo anaweza kucheza kabisa!

Sasa hapo ktk nafasi ya Faby na Matic watasimama Obi na Ramirez hasa kwa mchezo wa ManU km hawa wawili watakua dismissed. Na ule mchezo wetu na Arsenal hapo kati atapangwa Zouma na Obi na Ramires au Oscar! Hapa hapiti mtu aisee!

Yani wawape tu hizo kadi ili waone moto!

If both Matic and Fàbregas miss the game vs the gooners...hakika mtalia kilio kikubwa. Hata wakiwepo mechi za saivi huwa mna heza vibaya, mechi ya juzi na SC mlicheza ovyo...kwa hiyo, see you at the Emirates!!
 
Last edited by a moderator:
If both Matic and Fàbregas miss the game vs the gooners...hakika mtalia kilio kikubwa. Hata wakiwepo mechi za saivi huwa mna heza vibaya, mechi ya juzi na SC mlicheza ovyo...kwa hiyo, see you at the Emirates!!

Mkuu Eli79 nimeshaweka kanbi kwenu hizo tambo Kiongozi wangu ntazirusha sn!

Nachopenda kukuambia siku hiyo Yule beki wenu mreeeeeeeeeefu atavunjika nyonga!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni kampeni tu ya waamuzi wa EPL na sijui itaisha lini....mieleka sisi hatucheza. Tunacheza mpira safi kabisa km wa Fc Barcelona lol!

Hahahaha kwasababu unajua naipenda Barca ndo ukaamua kujilinganisha nao!! Hamuwafikiii loh!
 
Mkuu Eli79 nimeshaweka kanbi kwenu hizo tambo Kiongozi wangu ntazirusha sn!

Nachopenda kukuambia siku hiyo Yule beki wenu mreeeeeeeeeefu atavunjika nyonga!

Hahaha. Ntuzu siku hizi tunao mabeki wengi sana! Tunachagua tu nani yupo vizuri tumuweke...!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni kampeni tu ya waamuzi wa EPL na sijui itaisha lini....mieleka sisi hatucheza. Tunacheza mpira safi kabisa km wa Fc Barcelona lol!

Mmmh...kama wa Barcelona kweli? Mmesahau lini kupaki benzi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom