everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Pereglline atakua anaiwaza sn mechi ya ManU
Hivi vitoto vinatusumbuaga sana safari hii vitajuta, Yaya Toure kwisha habar yake
Pereglline atakua anaiwaza sn mechi ya ManU
Pereglline atakua anaiwaza sn mechi ya ManU
Bora utuwazie hivyo hivyo maana tunaleta msiba nyumbani kwenu, Ntuzu usipaone hapa maana utanuna, lol
Hivi vitoto vinatusumbuaga sana safari hii vitajuta, Yaya Toure kwisha habar yake
Sijapaona!
Sasa naanza kushangilia ubingwa.
Mchezo wenu na city utakua mgumu sn km city leo atapoteza....sitaki kusema sn usije ukaacha kupiga story na Mimi.
Arsenal sasa sisi ndio tunakufa naye kaibasa!
Watatoa draw na man u
Safari hii jambia linawahusu, nipo tayari tupinge... Lol
Na mimi nipo tayari!
Nikikufunga upewe ban ya muda gani?
Halafu hapa siyo nyie namaanisha City mimi na wewe kwenye mechi yenu usijali tutapinga tu ........
Sijapaona!
Sasa naanza kushangilia ubingwa.
Mchezo wenu na city utakua mgumu sn km city leo atapoteza....sitaki kusema sn usije ukaacha kupiga story na Mimi.
Arsenal sasa sisi ndio tunakufa naye kaibasa!
Based on current perfomance Arsenal will beat you really good
Chelsea daaah kama tu Man City na week mna derby na QPR mhhhh
Hahahahaaaaa nilijua hilo utakataa tu!
Aya nikikufunga nakununia wiki......uko tayari?
Hahahaha!! Sasa story ntapiga na nani kama hivi? Kama utaweza Haya .........lol
Arsenal can beat LFC and ManU in FA cup but not Chelsea.....
.hao QPR watautafuta mpira kwa tochi safari hii! Hatusubiri eti mpk tukutane na Arsenal mshindani wetu eti ndio tumpige!
Wakati mnapunguzana sisi tunamaliza biashara na QPR ya kujikokomelea kileleni!
inaonekana umesahau EPL tukikutana na timu kubwa tunakazaKwa kiwango chenu cha sasa cha kutegemea keeper wa Stoke *ajifunge* ndiyo mpate points 3 sidhani kama utamuweza Arsenal huyu
Kwa kiwango chenu cha sasa cha kutegemea keeper wa Stoke *ajifunge* ndiyo mpate points 3 sidhani kama utamuweza Arsenal huyu