Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Kwa kiwango chenu cha sasa cha kutegemea keeper wa Stoke *ajifunge* ndiyo mpate points 3 sidhani kama utamuweza Arsenal huyu
Kiwango kibovu wapi Malafyale? Stoke city km kipa wao alifanya kosa ata kipa wetu alifanya pia!
Alafu km Arsenal kawafunga nyie timu mbovu na kocha mbovu sisi hataweza kabisa! Yani hilo sahau kabisa Malafyale.
Utakuja kushangaa ninavyoipiga hiyo Arsenal!