Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu haina haja ya kuomba samahani hapa wewe toa maoni yako kadri uwezavo kwa uhuru kabisa.....

Ata mimi naona kuna poits km mbili hivi tunaweza kuangusha mpk 4 na hizi itakua ni michezo wa kwenu mwezi ujao na wa arsenal pale kwake BAK lkn nyie wa chini mkipigana sn na kuvurunda ktk michezo ingine unaweza shangaa gap ya point ikafika kumi aiseee.

Ligi itapendeza kama bingwa atapatikana two or less games before! Sio bingwa apatikane bado game nne au tano!
 
Kusema ukweli mimi ninachojua ni kwamba LFC kwenye top 4 hawamo na kitu kingine ni kwamba nafahamu ktk mchezo wetu na LFC tarehe 9 mwezi wa tano ndio mchezo tutakao kabidhiwa kombe letu mbele ya majogoo na Malafyale akiwa anashuhudia na BR wake.

Kaka nimeipenda hii....tamu kama maombi ya Mchungaji!!!! Lakini imejaa uhalisia kabisa. siamini kama tutahitajika kucheza mpaka mechi ya mwisho ili tutangazwe mabingwa. najua tutatangazwa mabingwa zikiwa zimesalia si chini ya mechi 3. tena huenda zikawa ni mechi 4 kabisa! manake kama tukiwachapa Man U, Arsenal basi hakutakuwa na timu ya kututishia nyau tena. by the time Liverpool wanakuja itakuwa ni kuwa tukishinda tunatangazwa mabingwa. na hapo ndo itaonekana tofauti yetu na wao mwaka jana walipokuwa kwenye position favourable kama yetu mwaka huu na tukawazima mbele ya halaiki yao tukiwaacha wakitembea alone....!(@Malafyale)
 
Ngoja tuje tuwachape ligi iwe tamu!! Ubingwa mtachukua ila cha moto mtakiona!
 
Sio kwenye ile fotress iitwayo Stamford Bridge ndg yangu. Pale the likes wa Sunderland ndo wanaweza kutufunga. Lkn nyie wenye uwezo wa kuchonga pale hamtufungi asilani. si mnamwita kocha wetu mchongaji? so mnadhani kwa akili nyepesi tu atakubali eneo lake la kujidai aadhirike na wachongaji? hilo haliwezekani. the best result you can get from there ni draw draw ambayo ita preserve status quo ya sisi kuwa mabingwa na nyinyi kuhangaikia nafasi 19 zilizobaki chini yetu!!!
 
Kusema ule ukweli kuna michezo amabayo tunatakiwa kushinda mapema ili tuweze kua mabingwa hasa kuanzia huu unaokuja na itakayofat mpk kwenye tarehe 20 mwezi ujao.....alafu itakoyosalia basi kila mmoja atajua kua sisi ni mabingwa.
 
Sio kwenye ile fotress iitwayo Stamford Bridge ndg yangu. Pale the likes wa Sunderland ndo wanaweza kutufunga. Lkn nyie wenye uwezo wa kuchonga pale hamtufungi asilani. si mnamwita kocha wetu mchongaji? so mnadhani kwa akili nyepesi tu atakubali eneo lake la kujidai aadhirike na wachongaji? hilo haliwezekani. the best result you can get from there ni draw draw ambayo ita preserve status quo ya sisi kuwa mabingwa na nyinyi kuhangaikia nafasi 19 zilizobaki chini yetu!!!

Naweka kwenye kumbukumbu!
 
Ngoja tuje tuwachape ligi iwe tamu!! Ubingwa mtachukua ila cha moto mtakiona!

Najua RRONDO unaongea kiutani hili nimelinote mkuu...

Labda niseme kitu kimoja....ManU pamoja kupata matokeo mazuri hivi karibu, hii inachangiwa na Ugwiji wa Mzee Van Gaal mbinu zake lkn ktk upande wa timu yenu bado kumekua na makosa madogo madogo ambayo kwa wachezaji km kina Hazard na Willan watawasumbua sn...najua LvG anamtunza Robin Van Magoli ili aje amtumie siku hiyo...mimi nigependa sn mjiimarishe ktk nafasi ya ulinzi hasa kati ambapo mimi naona bado mnashida.

sisi huo mchezo tunatafuta sare km Manumbu alivokuambia hapo juu kitu ambacho tuna asilimia MIA za kupata sare...

Uzuri ni kwamba wewe upo na mimi nipo sio mbali ni km wiki tatu tu zimebaki tukutane uso kwa uso.

Sio kwenye ile fotress iitwayo Stamford Bridge ndg yangu. Pale the likes wa Sunderland ndo wanaweza kutufunga. Lkn nyie wenye uwezo wa kuchonga pale hamtufungi asilani. si mnamwita kocha wetu mchongaji? so mnadhani kwa akili nyepesi tu atakubali eneo lake la kujidai aadhirike na wachongaji? hilo haliwezekani. the best result you can get from there ni draw draw ambayo ita preserve status quo ya sisi kuwa mabingwa na nyinyi kuhangaikia nafasi 19 zilizobaki chini yetu!!!

Mkuu kwa EPL timu ambayo hua inakuja kwetu kwa hasira na maguvu yote ni Man City hapo ndio mimi hua naona kuna kazi lkn hizi timu zilizobaki zingine wala hazitishi..... mimi kwa Manu namuona LvG tu kua ni gwiji wa mbinu na anajua kuapproach michezo mikubwa.

Umemuambia vzr sn hapo juu...yeye asubiri tu muda ufike.
 
Last edited by a moderator:
....Hatuwezi kulalamikia mfumo wakati huo mfumo ndio umetufikisha hapa tulipo sasa na kutupatia kombe moja....

Ni kweli formation hiyo ndio imetufikisha hapo tulipo na pia ni ukweli kwamba tangu second part ya season ianze, tumetaabika kiasi flani huku tukitoa draws mechi tulizopaswa kushinda. Inawezekana sana labda wachezaji wamechoka au team pinzani sasa zinapredict tutachezaje, ukichukulia 97% ya starting eleven na/au formation yetu inafahamika vizuri.
 
Mkuu kuna vitu vichache ningependa kuongelea juu ya timu yetu pamoja timu tunazokutana nazo na mifumo yote kwa ujumla.

Kwanza kuhusu mfumo wetu....huu mfumo karibu timu nyingyi siku hizi zinatumia...huu mfumo unasaidia timu kushambulia kupitia sehemu zote.....Fc Barcelona wamekua wakiutumia sn na B Munich...na sasa umetapakaa karibu timu nyingi pamoja na kua huu mfumo ulikuwepo muda mrefu....

Changamto ambazo timu yetu inakutana nazo siku hizi nyingi sn....nikianza na Costa...Costa ni leading top scorer wa EPl kwahiyo timu tunazokutana nazo zinakuja zikiwa tayari wameshamsoma vzr na marking kwake inakua kubwa ikiwa na kumchezea hovyo ili kumtoa ktk kucheza mpira na kumfanya achukie na.....nafikiri km unafatilia vituko anavofanyiwa uwanjani Costa utaliona hilo....

Ufumbuzi juu ya swala la Costa ni bora aanzie benchi kipindi cha kwanza na cha pili aingie hii itatusaidia kucheza mpira wa kasi kipindi cha kwanza na kipindi cha pili akiingia Costa basi mabeki wengi watakua wamechoka na zile vurugu zake basi atakua anatupia kirahisi tu.

Swala jingine ni km hilo la Costa...Fabregas ni top assist wa EPL mpk sasa kwahiyo timu pinza zinakutana na sisi zinakua zinajua hili vema kiasi kwamba huyu bwana atakabwa na kufanyiwa vurugu zote mpk asipate nafasi kufanya yake....hii ina aplly na kwa Hazard pia. Na yeye ndio hivo hivo ni taabu tu.

Ni wakati sasa wa Mou kuwapa dakika 45 au 70 au 30 kwa hawa watu kucheza...hii itasaidia kuwapa nguvu iwapo watatokea bench au wakianza ingawa ni muhimu kuanza na full mkoba lkn km ni mechi kubwa basi waanze lkn km ni mechi ndogo waanzie benchi.

Matic, huyu jamaa sasaivi ameanza kuchoka na hii inatokana na kucheza kwa muda mrefu bila kupata msaada hasa kutokana na Obi kua majeruhi na Ramires kua majeruhi pia ingawa sasa Ramires amerudi na anafanya vzr lkn tunahitaji pacha pale kati km Obi na Ramires ili Matic na yeye apate kupumzika ndio maana unaona ata Mou siku hizi anamtupia Zouma ktk hiyo nafasi ili kupata angalau wachezaji ktk hiyo nafasi. Na wapinzani wanajua kua uimara wa ngome yetu unajengwa na Matic sasa wakikutana na sisi wanacheza mipira ya kasi na mirefu na ya kushitukiza km ya Hull city juzi....Lkn nafikiri Obi yuko karibu kurudi na ktk mchezo wetu na ManU tutamuona uwanjani akiwa na Matic....

Kuna mengi sn unaweza ukasema lkn kwa sasa ngoja niishie hapa ila kubwa ni kwamba sasaivi timu iko sawa na itafanya vzr ktk michezo yote iliobaki.
 
Majogoo yanakwenda kuwika Emirates na kukuchabanga kwako Darajani

Kama sio amateurish ya SG ningemchapa Man U easily tu nyumbani kwangu

Najua hata nyie sasa mnayaogopa Majogoo
 
Unachelewa nini mkuu? WEKA KABISA.

Ni kweli mkuu kutakua na ushindani sn km itakua hivo.
Sasa kama washindani wenyewe wamejichokea kama ilivyo man city kwa sasa tutafanyaje? Man u wanaelekea kukumbuka shuka wakati kumekucha! Liverpool nao mifupa yanaelekea kuishangaza kwenye tangu! Arsenal lengo lao wameshaweka wazi wanataka nafasi ya pili maana wameshaona nafasi ya kwanza ina mwenyewe! Mi naona wakabidhi tu kikombe kwa mwenyewe (chelsea) na wajipange mapema musimu ujao!
 
Majogoo yanakwenda kuwika Emirates na kukuchabanga kwako Darajani

Kama sio amateurish ya SG ningemchapa Man U easily tu nyumbani kwangu

Najua hata nyie sasa mnayaogopa Majogoo

Utaanzia wapi kumfunga Wenger bila kua na Skrtel? Utaweza vipi kuifunga Arsenal kwa kiwango kibovu na mbinu mbovu za BR.

Pita kwanza hapo Emirates uone matokeo yake utakayo pata ndio upige hesabu za darajani.
everlenk kaka yako kaanza kusema tena ile kauli yake.......njoo mtulize mamito.
 
Last edited by a moderator:
Ili kuhakikisha tunamaliza kazi tuliyoanza nayo tangu msimu unaanza na tunabeba ndoo kabla ya mechi zote kuisha, Mourinho anapaswa sasa kubadilisha formation na kuchezesha strikers wawili (Remy na Costa au Drog kama Costa hatopona haraka). Formation yetu ya kuweka striker mmoja inawapa chances team pinzani kucheza na 3 defenders na kutushambulia sisi sasa. Yaani vitimu kama Burney, Hull etc navyo eti vinashambulia na kutupia magoli nyavuni kwetu. Juzi hapa mpaka half-time, Hull walikuwa wamepiga mashuti kama 14 wakati sisi yetu hata 7 yalikuwa hayafiki

Bado safari ni ndefu. Mechi na Stoke, Arsenal na Man Utd ni mtihani ule lakini nina imani na team linapokuja suala la kucheza na timu kubwa

Hapa nakuunga mkono bila ubishi,, aongezewe striker mmoja hapo mbele ila ningependa awe sub ya mapema tu arround 60s min. Aanze willian au cuadrado kisha aingie remy au drogba hii itasaidia sana kuongeza kasi ya mchezo na kuongeza uwezekano wa strikers kufunga
 
Utaanzia wapi kumfunga Wenger bila kua na Skrtel? Utaweza vipi kuifunga Arsenal kwa kiwango kibovu na mbinu mbovu za BR.

Pita kwanza hapo Emirates uone matokeo yake utakayo pata ndio upige hesabu za darajani.
everlenk kaka yako kaanza kusema tena ile kauli yake.......njoo mtulize mamito.

Msamehe bure tu kaka yangu bado ako na stress.............

Hata sasa nawe waogopa the red devils.....lol😛😉😉
 
Last edited by a moderator:
Ili kuhakikisha tunamaliza kazi tuliyoanza nayo tangu msimu unaanza na tunabeba ndoo kabla ya mechi zote kuisha, Mourinho anapaswa sasa kubadilisha formation na kuchezesha strikers wawili (Remy na Costa au Drog kama Costa hatopona haraka). Formation yetu ya kuweka striker mmoja inawapa chances team pinzani kucheza na 3 defenders na kutushambulia sisi sasa. Yaani vitimu kama Burney, Hull etc navyo eti vinashambulia na kutupia magoli nyavuni kwetu. Juzi hapa mpaka half-time, Hull walikuwa wamepiga mashuti kama 14 wakati sisi yetu hata 7 yalikuwa hayafiki

Bado safari ni ndefu. Mechi na Stoke, Arsenal na Man Utd ni mtihani ule lakini nina imani na team linapokuja suala la kucheza na timu kubwa

Kiufundi umeongea suala moja kubwa sana... wakati umefika kaka Jose abadili toka 4-2-3-1 na kuja 4-1-3-2 ama hata 4-3-3, kiukweli Diego Costa siyo mshambuliaji wa kucheza peke yake mbele anapaswa kuwa na msaidizi(has a kipindi hiki ambacho Fabregas amechoka, na tunategemea mashambulizi toka upande wa Hazard tu)

Mimi ningependa sana D.D na D.C wangeanza pamoja kisha Remy akachukua nafasi ya mmoja wao. Josee pia afanye mabadiliko ya wachezaji ili kuwapumzisha na kuwajengea wengine uwezo wa kujiamini ili wafanye majukumu yao ipasavyo.

Yote kwa yote sisi ni wapenzi wa Chelsea na jukumu hili kapewa morinyo basi tumuheshimu... Mungu bariki timu yetu.
 
Nadhani suala si formation ila ni rotation ya wachezaji, hiyo formation si ndio inatumiwa mpaka na academy? na labla kuswitch baadhi ya positions za wachezaji,
Kwa mfano me nadhani ni muda muafaka sasa Hazard awe anacheza kama no.10, aongezee creativity pale katikati na kumsaidia Fabregas kupasua kuta ngumu na hii itawapa nafasi wachezaji wengine kucheza winga ya kushoto, mtu kama Cuadrado au Remy
Just imagine Hazard acheze nyuma ya mshambuliaji, zile chenga zake, uwezo wake wa kuumiliki mpira, atakua anatengeneza magoli na nafasi ngapi kwa wenzake kufunga? Tofauti na kule pembeni ambako pamoja na mchango mkubwa anaotoa bado nahisi anaweza kusababisha madhara makubwa akicheza kama no.10
 
Majogoo yanakwenda kuwika Emirates na kukuchabanga kwako Darajani

Kama sio amateurish ya SG ningemchapa Man U easily tu nyumbani kwangu

Najua hata nyie sasa mnayaogopa Majogoo

Its done and dusted! Get over it!
 
Msamehe bure tu kaka yangu bado ako na stress.............

Hata sasa nawe waogopa the red devils.....lol😛😉😉

Nimesha andaa dawa ya kukabiriana na hayo mashetani mekundu....mifupa ya nguruwe kila mchezaji atakua nayo mfukoni mwake...lol.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom