Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ibra nje, lakini to be honest haikuwa red card, maana kulikuwa hakuna open foot, Chelsea tuna advantage sasa ya mtu mmoja,
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mechi kubwa kama izi red card dakika ya 31 ni kuharibu gemu , ngoja nikalale tu
 
yule forward maarufu na wa kutisha wa PSG amepewa red card
 
hivi mnasikiliza watangazaji mashabiki wa man u mnatgemea nini? ile ni kadi nyekundu
 
Ibra nje, lakini to be honest haikuwa red card, maana kulikuwa hakuna open foot, Chelsea tuna advantage sasa ya mtu mmoja,

Wewe umeongea kama mpenzi wa mpira...nimeangalia replay tena, inaonyesha wote Oscar na Ibra waliingia na miguu yao, ila Ibra akaikunja miguu! Sasa red card ya nini? Hata yellow angekuwa kaonewa.

Ila kwa Oscar ni mzee wa simulation na crowd ya rentboys, refa akapaniki!
 
yule forward maarufu na wa kutisha wa PSG amepewa red card

Mou anatakiwa kumtoa Oscar kwani anaonekana leo hayupo kwenye game na anaweza kula njano mbili kwa jinsi anvyocheza leo
 
Leo kama kadi tu zitatembea nyingi sana. Naona mind games za Mou zinafanya kazi sasa
 
Najua Morinhno half time atamtoa oscar na kumweka willian
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom