Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,943
3 - 0 is my prediction!!!
Nackia ibrahimovic hatocheza nimeona kwenye tbc taarifa ya habari za michezo.
PSG wanajua chance yao yakupita ni ndogo??? kwa msingi upi subiri baada ya dk 90 ndio useme hivyo otherwise ur wrong..........Kwa harakaharaka kutokana na maoni yako naoana unapendekeza chelsea ishambulie zaidi au icheze kitimu zaidi kwa muda wote hii itakua ni njia rahisi ya kuisukuma PSG nje ya haya mashindano......sasa hii kz wafanye kina nani sasa? unaweza ukanipangia kikosi amabacho unaona hichi kitawasimamisha PSG ata km wakija vipi na wakati huo huo ukmbuke kua hawa PSA wanajua nafasi yao ya kusonga mbele ni ndogo sn hivo njia sahihi kwa wao ni kucheza kufa na kupona na kufunguka zaidi....wewe unaonaje hilo mkuu?
Vyombo vingi vya habari vimeriport kuwa ibromovic hatacheza
Vyombo vingi vya habari vimeriport kuwa ibromovic hatacheza
Wakuu kwa wale wanaofuatilia Mpira kwenye internet na siyo TV ni website gani nzuri ya kuangalia mpira bila kuzingua?
Masada jamani
Hapo kwa Pastore hapoo, mjishike vizuri. Anajua sana huyo dogo