Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mamito unataka kuniambia ni mikwara Tu ya Mou na hakuna lilote? Au ni kweli yawezekana Chelsea wametrain an kiasi kwamba mchezo wa Leo utakua ni rahisi kwao?

Kakiandaa kikosi vizuri kachombeza na mikwara juu, mkwara unasaidia sana ingawaje sometime unaleta hasira kwa mpinzani akushambulie kwa nguvu zote, katika dau PSG walilotangaza kwa wachezaji wao halafu Mou naye alivyowajibu we unafikir PSG wanajiskiaje kwa sasa? Kuna 2 ambayo yanaweza tokea ....wanaweza ndo wakawa na Ari ya kushambulia zaidi au wakaingia na ari ya uoga zaidi.
 
Aisee mchezo ni mgumu sn.... Hawa PSG wana timu ngumu sn. Ngoja tusubiri tuone na ninafikiri Mou Leo hatokaa chini.
 
"We have tougher games than PSG in training " Mourinho said.

Wakuu nimekuwa naitafakari hii kauli ya Mourinho nabaki nacheka Tu. Huyu jamaa amewashusha kiasi gani hawa PSG? Au lengo lake ni nini hasa? Au kuna vitu gani kawaelekeza hawa vijana wake?

Cc Mentor Manumbu Mourinho kalou Nonda etc

Mourinho at his best, anajaribu kumuingia kichwani Blanc na kikosi chake, na kashatoa kaulia kama 3 hivi za kuwakejeli hawa jamaa
Wakimsikiliza wakataka kuingia uwanjani na hasira ya kumyamazisha mdomo wake kama anavyosema dada everlenk itakula kwao, kwa sababu that's exactly what JM wants, the best thing they can do ni kupuuzia tu haya maneno
Kwa washabiki na media ni burudani na tunapata cha kujadili kama hivi, Mou bana'
 
Last edited by a moderator:
Kakiandaa kikosi vizuri kachombeza na mikwara juu, mkwara unasaidia sana ingawaje sometime unaleta hasira kwa mpinzani akushambulie kwa nguvu zote, katika dau PSG walilotangaza kwa wachezaji wao halafu Mou naye alivyowajibu we unafikir PSG wanajiskiaje kwa sasa? Kuna 2 ambayo yanaweza tokea ....wanaweza ndo wakawa na Ari ya kushambulia zaidi au wakaingia na ari ya uoga zaidi.

you are very right Mamii. Maurinho ni mzuri sana kwenye ile kitu tuitayo psychological warfare. unacheza na maneno au chochote cha kumtia hofu mpinzani wako. na hapa inaweza kuwa kumsifia au kumkandia. vyovyote vile lengo ni kutibua mental calmness yake. football ni mchezo wa akili zaidi kuliko mwili, japo watu wengi hawalijui hili. na kwenye hizi timu za kufundishwa pattern fulani ya kutumika, na kuambiwa when is that pattern/game plan going to change and to change into what. saa zote miili inacheza na kukimbia lkn vichwa inabidi vikumbuke with accurancy na precision strategy ya mchezo. saa zote lazima umsikilize kocha na captain au yeyote aliyepewa jukumu la kuongoza mawaziliano ndani ya timu. kwa hiyo ukiweza kuvuruga hii coordinations na concentrations vichwani mwa mpinzani wako, unakuwa umeshinda game kwa zaidi ya asilimia 50. ndio nguvu ya pysichological warfares. hata kutangaza bonus kwa ushindi ni sehemu ya hizo p. warfares.

huku kwetu psychological warfares inaweza kuwa kuvunja mayai/nazi, kuruka ukuta au mageti, kugoma kuingia vyumba vya kubadilishia nguo au kupuliza bangi au kunyunyizia maji etc ili mradi chochote mfanyacho mnajitahidi wapinzani wenu wajue mmefanya nini ili kuwa destabilise vichwani. vyote hivyo ni mbinu za ziada zaidi ya zile zilizoandaliwa kutumika kiwanjani!!

kwa game ya leo, nikisomacho toka kwenye hiyo kauli ya JM ni kuwa kapanga kuwashtua PSG mapema sanaa ili awaoneshe kuwa wao si lolote. na ndio maana hata earlier on alisikika akisema kuwa alitegemea PSG wangekuwa wazuri zaidi kwa mpira badala ya kuwa very physical/maguvu. hii yote ni kuwaonesha kuwa wao bado wako chini na he would like to prove that as early as possible, na akifanikiwa hili, tusishangae magoli yakawa hata 3 on CFC's favour. ila kama strategy ya kushambulia mapema itazimwa kwa counter attack ya PSG itakayopelekea kuwa 1-0, then mkakati itabidi ubadilike sana.

all and all, tutakuwa na game zuri zaidi kuliko ile ya Paris 3 weeks or so ago
 
Mourinho at his best, anajaribu kumuingia kichwani Blanc na kikosi chake, na kashatoa kaulia kama 3 hivi za kuwakejeli hawa jamaa
Wakimsikiliza wakataka kuingia uwanjani na hasira ya kumyamazisha mdomo wake kama anavyosema dada everlenk itakula kwao, kwa sababu that's exactly what JM wants, the best thing they can do ni kupuuzia tu haya maneno
Kwa washabiki na media ni burudani na tunapata cha kujadili kama hivi, Mou bana'

Hivi vita vya maneno ndo vilifanya Arsene Wenger atake kukipiga kavu kavu na Maurinho. ile kauli ya specialist in failure ilimuuma sana AW na mpaka leo inamuuma, in addition ya ukweli kuwa hajawahi kumfunga Maurinho inazidi kutia pilipili kwenye jeraha. ukiwa outsider it is very funny kuona jinsi maneno yanavyoweza kum-distabilise mtu ambaye hukutegemea angeweza kuguswa hivyo! nilicheka sana siku ile AW alivyokwenda kumkunja JM. utamu wa ile mechi uliishia pale!!!
 
Historia haidanganyi!!
 
Attachments

  • 1426089774321.jpg
    1426089774321.jpg
    27.9 KB · Views: 128
Let's go Chelsea Leo inashinda nyumbani 2-0 PSG kama kuna mtu anabisha apigwe tu
 
Nimekumbuka hilo tukio Mkuu nimebaki nacheka Tu Mkuu. Ila Mkuu Mou kapunguza maneno siku hizi. Lkn zamani ilikua shida an. Ila AW sizani km watakuja kuelewana na Mou. Alafu Brendan Rodgers mwaka Jana alitaka kumchokoza Mou Kwa kumtolea maneno kua Chelsea ilipaki mabasi mawili Mou akamuacha Tu. Alafu Pellegrino hua anamchokoza Mou sn ila Mou anakaa kimya.

Hivi vita vya maneno ndo vilifanya Arsene Wenger atake kukipiga kavu kavu na Maurinho. ile kauli ya specialist in failure ilimuuma sana AW na mpaka leo inamuuma, in addition ya ukweli kuwa hajawahi kumfunga Maurinho inazidi kutia pilipili kwenye jeraha. ukiwa outsider it is very funny kuona jinsi maneno yanavyoweza kum-distabilise mtu ambaye hukutegemea angeweza kuguswa hivyo! nilicheka sana siku ile AW alivyokwenda kumkunja JM. utamu wa ile mechi uliishia pale!!!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu pamoja n kua hawa jamaa ni wagumu lkn hawatopata goli at a moja Na Leo hawa PSG watapaki basis na kuvizia na watakaba sn
 
Wakuu pamoja n kua hawa jamaa ni wagumu lkn hawatopata goli at a moja Na Leo hawa PSG watapaki basis na kuvizia na watakaba sn

100%. True

Ni mchezo mzuri sana kwangu nashindwa kutabiri magoli ila Nauona ushindi kwa Chelsea hasa kama watacheza kwa kushambulia ila wakipaki basi Chelsea mtalala.......

Tuna kila sababu ya kushambulia tukashinda kupaki basi itakuwa uoga,ila kushambulia PSG ni rahisi beki zao zinafunguka,Chelsea tusitegemea kupaki na kusubiri counter attack
 
Tonight's cover...matchday program
 
Attachments

  • 1426095306039.jpg
    1426095306039.jpg
    90.6 KB · Views: 131
Wakuu kwa wale wanaofuatilia Mpira kwenye internet na siyo TV ni website gani nzuri ya kuangalia mpira bila kuzingua?
Masada jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom