Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

admirers wa Chelsea na Maurinho watajificha wee lkn watajiripua tu...mchekini Sherwood

Tim Sherwood said naughty things after his Tottenham side were thrashed by Chelsea

Sherwood had a little more to say about Chelsea's manager, his talk of campaigns, and his reaction to the opening goal in the Capital One Cup victory over Tottenham:

"When Mourinho talks about referees and campaigns, that's calculated. He knows what he's doing. I saw him when Chelsea scored against Tottenham last Sunday. Tottenham were doing well until that point, but the goal went in and Mourinho turned to the bench as if it was all part of some masterplan."

"It was like he was checking his watch. 'That's strange, 40 seconds early.' He has that way. But he's Mourinho - he can do what he wants.

Tim Sherwood said naughty things after his Tottenham side were thrashed by Chelsea - We Ain't Got No History
 
Wakuu tukiwa tunaelekea kutizama mpira au burudani safi kati ya arsenal na Man Utd kuna huu mchezo mwingine ambao utakuwepo hewani ktk masaa yasiyozidi 50 kati ya Chelsea na PSG. Kuna mambo machache ningependa tuyajadili.

Msimu uliopita wakati Chelsea ilipokwenda kwao PSG, chelsea ilipoteza ule mchezo kwa goli 3 kwa moja na Chelsea ilipowakaribisha PSG iliweza kupindua matokeo na kuwatoa PSG na chelsea kusonga mbele. Jambo moja hapa nalotaka tuanze nalo ktk kulichambua hili ni kwamba PSG wanaweza kupindua matokeo na kuitoa chelsea na kusonga mbele km Chelsea walivofanya msimu uliopita na hapa tukizingatia kua kuna mchezo Chelsea msimu uliopita ilipokwenda kwao ATM walipata suluhu ya bila kufungana na ATM walipokuja London waliweza kuifunga chelsea na kuitoa nje ya mashindano sasa tunaweza kutumia huu mchezo km rejea ktk kuchambua huu mchezo wa chelsea na PSG.

Kitu kingine ktk first leg pale Paris, PSG ilikua na majeruhi ktk wachezaji wake kitu ambacho kilichopelea kocha Raulent Blanc kumpanga David Luiz ktk nafasi ya kiungo mkabaji na safari hii PSG haina majeruhi ata mmoja, timu imerudi ktk hali nzuri wakati huo huo Chelsea na wao wana majeruhi mmoja tu ambaye ni Mikel Obi John. Na pia ktk timu zote hakuna mchezaji ata mmoja ambaye atakosa mechi hii kwa kutumikia adhabu yoyote. Kwahiyo timu zote ziko ktk ubora wao kabisa.

Kitu kingine nilitaka tujadili ni mfumo gani PSG wanaweza kuutumia kuweza kuwadhibiti chelsea na chelsea watatumia mfumo gani kuweza kuwatoa PSG? Na nani apangwe ktk timu zote na nani aachwe? Ibrahimovic ktk mchezo wa kwanza alifanya vzr ingawa hakuweza kufunga goli...nini aongeze ili kufunga na nini mabeki wa chelsea wafanye zaidi kumdhibiti tena huyu Ibra, na Cavani itakuwaje? Na Costa naye itakuwaje pamoja na Hazard?

Nafikiri nisiseme mengi mimi binafsi maana najua mengi yatatoka kwenu na kwa kujadili hili ningependa kuwaalika Nonda BAK Nzi everlenk Mbu RRONDO Manumbu Mentor EMT Mourinho Malafyale kalou Viol the say na wapenzi wa mpira wooooooooote karibuni sn.
 
Last edited by a moderator:
Napendekeza kikosi kuwa hivi Czech,iva,azp,cahil,tery,mati,wily,faby,costa, ramires, eden.
Jamaa watakuja kasi ili wapate LA mapema. Ila approach iliyotumiwa dhid ya tot final ya capital ilikuwa nzur na inafaa kwa gem hiyo, tutaanza taratibu kuangalia wapinzan wanakuja vp na JM ni mjuzi Wa game hizi. God bless Chelsea
 
Ok, kwa kikosi hichi chelsea wanatakiwa kufunguka zaidi kuliko kupaki basi km mbinu ya kuwazia PSG?
 
Mkuu ata PSG wanataka kufunga na kushinda ili wasonge mbele.......unaonaje hili mkuu?

Pale ni kwetu, mashabiki tutakua nao wengi, wakitusapoti
Wachezaji wetu watakua fit maana walikuwa na siku nyingi za kupumzika kabla ya hiyo mechi.
PSG wanacheza vizuri ila timu yao haitishi sana. Tayari makosa Morinho kayaona kwenye mechi iliyopita na mechi ya kesho hatapenda kuwadisappoint mashabiki, maboss wake
 
Msumbufu pale mbele ni Cavan wengine c kivile ila tukiwakamata katikati tumeshinda ila nahofia tukifunguka mapema Mkuu unajua tiago karudi jamaa ni mzuri kwa ukabaji, sasa nikumwekea battle kubwa asifanywe chochote , hapo twaweza win
 
Safi sn mkuu, lkn nakumbuka mchezo wetu wa kwanza kule kwao PSG kipindi cha kwanza chelsea ilifanya vzr lkn kipindi cha pili PSG walibadilika na kukosa magoli ambayo mengi yaliokolewa na kipa wetu.....huoni km ata wakija kwetu wanaweza kupata magoli hasa ukizingatia kua Raulant Blanc anataka na yeye kua kocha mkubwa na anataka pia amfunge Mou na pia msimu uliopita tulipata sale kwa ATM lkn walipokuja Darajani vijana wa Diego Simeoni waliweza kupindua matokeo....wewe unalionaje hili mpk uwe na uhakika kwamba tutawafunga tu hao km ulivota sababu hapo juu?
 
Yap, Cavani anaonekana ni msumbufu kutokana na namna anavocheza,yuko huru anakwenda huku na kule, sasakuna haja ya kumuwekea mtu wa kumuangalia muda wote?

Alafu, Ibra ni hatari pia maana ktk ule mchezo wetu wa kwanza alipiga mashuti mengi ktk shabaha ya lango letu kuliko huyo Cavani, wewe unalionaje hilo na hasa km ulivosema Thiago karudi na Cabaye pia atakuwepo na Lavezi....?
 
Msimu uliopita, kutoka kwetu kuliuma watu wengi kuanzia kocha, Boss, mashabiki, na wachezaji pia hadi Hazard akasema kuwa Chelsea was not made to play football.
Wachezaji wote pale wanataka kuchukua lile kombe na njia moja wapo ni kuwafunga PSG na kuzuia kufungwa.
Attack is the best option kwa kesho kutwa, kukaa nyuma kutamaanisha tuko radhi kufungwa.
Nina uhakika wa kushinda sababu wachezaji hawata taka pitia yale mateso ya kufungwa tena kwao.
Cech atasaidia pia maana ni mzoefu UEFA hivyo atasaidia.
Kama wakicheza vipindi vyote viwili kwa kasi hakika kushinda tutashinda
 
Kwa harakaharaka kutokana na maoni yako naoana unapendekeza chelsea ishambulie zaidi au icheze kitimu zaidi kwa muda wote hii itakua ni njia rahisi ya kuisukuma PSG nje ya haya mashindano......sasa hii kz wafanye kina nani sasa? unaweza ukanipangia kikosi amabacho unaona hichi kitawasimamisha PSG ata km wakija vipi na wakati huo huo ukmbuke kua hawa PSA wanajua nafasi yao ya kusonga mbele ni ndogo sn hivo njia sahihi kwa wao ni kucheza kufa na kupona na kufunguka zaidi....wewe unaonaje hilo mkuu?
 
Yap, Cavani anaonekana ni msumbufu kutokana na namna anavocheza,yuko huru anakwenda huku na kule, sasakuna haja ya kumuwekea mtu wa kumuangalia muda wote?

Alafu, Ibra ni hatari pia maana ktk ule mchezo wetu wa kwanza alipiga mashuti mengi ktk shabaha ya lango letu kuliko huyo Cavani, wewe unalionaje hilo na hasa km ulivosema Thiago karudi na Cabaye pia atakuwepo na Lavezi....?

Nikianza na lavez anapenda Sana kukokota ktk wachezaji wanaokokota Mara nyingi hawasumbui ngome ya Chelsea, kadabra alipiga vichwa vingi sana mechi iliyopita sababu alipata kros nyingi ndo maana nasema tukiruhusu Kros nyingi itatupa shida. Battle ipo katikati Mkuu yoyote atakae funika kati anawezapata matokeo, pia mech hii iko 50 50 issue n dimba LA kati mkuu
 
ni mada nzuri kwa kweli hata mimi sitafurahi kuona mour avuki hatu hii , ningependa sana kuona tunafika mbali lakini kikwazo nakiona kipo hapa kwa psg , hawa watu ni wazurj sana naona wachezaji wasipokuwa makini hii ndiyo inaweza kuwa mwisho wao . Umakini wa hali ya juu unahitajika sana na ningependa zaidi kuona mour akicheza defensive game na sio offensive game huku tukitegemea counter attack kwani lazima tuelewe kwamba psg wanahitaji ushindi hivyo watacheza game la kushambulia zaidi muda wote . Napendekeza cech, azp, ivanovic,cahil,tel, matic, willian,fabr, costa, osca, hazard.
 
Kwa harakaharaka kutokana na maoni yako naoana unapendekeza chelsea ishambulie zaidi au icheze kitimu zaidi kwa muda wote hii itakua ni njia rahisi ya kuisukuma PSG nje ya haya mashindano......sasa hii kz wafanye kina nani sasa? unaweza ukanipangia kikosi amabacho unaona hichi kitawasimamisha PSG ata km wakija vipi na wakati huo huo ukmbuke kua hawa PSA wanajua nafasi yao ya kusonga mbele ni ndogo sn hivo njia sahihi kwa wao ni kucheza kufa na kupona na kufunguka zaidi....wewe unaonaje hilo mkuu?

Attacking them ndo njia pekee twende pamoja turudi kukaba pamoja, tukipoteza mpira tuutafute kwa pamoja, kwenda mbele Hazard sababu ana mbio akipewa basi Costa awe mbele zaidi ili aweze pokea na kufunga.

Cech
Iva Cahill Terry Azi
Fab Matic
Willian Hazard
Oscar
Costa
 
Nikianza na lavez anapenda Sana kukokota ktk wachezaji wanaokokota Mara nyingi hawasumbui ngome ya Chelsea, kadabra alipiga vichwa vingi sana mechi iliyopita sababu alipata kros nyingi ndo maana nasema tukiruhusu Kros nyingi itatupa shida. Battle ipo katikati Mkuu yoyote atakae funika kati anawezapata matokeo, pia mech hii iko 50 50 issue n dimba LA kati mkuu

Ok, apangwe nani hapo katikati kwa chelsea? Matic, Ramires na Faby? au apangwe Zouma, Matic na Faby? au Matic, Faby na Oscar?

Sasa ili kuzuia hizo kross za PSG Ivanovic asiwe anapanda sn mbele pamoja na Azzpi au Luis km atapangwa? Au Willian na Hazrd wanatakiwa kushuka nyuma na kuja kusaidia kukaba? Na ukumbuke km watafanya hivi sn basi ktk kushambulia watapwaya pia sijui unaonaje mkuu km ulivosema hii ngoma ni 50 kwa 50?
 
Unajua mechi ya westham tulifunguka vizuri sana kwa kuwa west hawakuwa wazr sana kati lkn PSG kati Wako vzr Mkuu hivyo ni vzr kuwasoma kuliko kuanza kufunguka kuanzia dk ya 1 inaweza kuwa hatar kwetu.
 
ni mada nzuri kwa kweli hata mimi sitafurahi kuona mour avuki hatu hii , ningependa sana kuona tunafika mbali lakini kikwazo nakiona kipo hapa kwa psg , hawa watu ni wazurj sana naona wachezaji wasipokuwa makini hii ndiyo inaweza kuwa mwisho wao . Umakini wa hali ya juu unahitajika sana na ningependa zaidi kuona mour akicheza defensive game na sio offensive game huku tukitegemea counter attack kwani lazima tuelewe kwamba psg wanahitaji ushindi hivyo watacheza game la kushambulia zaidi muda wote . Napendekeza cech, azp, ivanovic,cahil,tel, matic, willian,fabr, costa, osca, hazard.

Asante sn mkuu...
Attacking them ndo njia pekee twende pamoja turudi kukaba pamoja, tukipoteza mpira tuutafute kwa pamoja, kwenda mbele Hazard sababu ana mbio akipewa basi Costa awe mbele zaidi ili aweze pokea na kufunga.

Cech
Iva Cahill Terry Azi
Fab Matic
Willian Hazard
Oscar
Costa

Asante pia mkuu,

Naona nyote nyie mmepanga Oscar kwanini asiwe Ramires, kuna tofauti gani kwa hawa wachezaji wawili wakuu?

Alafu mkuu ligera na Root naona mmepishana ktk swala la mfumo upi chelsea itumie mmoja amesema tushambulie sn na mwingine kasema tusishambulie....... na wote mmetoa sababu nzuri za kusema hivo na mimi kwa mtazamo wangu naona tujeze kwa tahadhali sn ata km tutashambulia lkn tuhakikishe nyuma hatufanyi makosa.
 
Last edited by a moderator:
Attacking them ndo njia pekee twende pamoja turudi kukaba pamoja, tukipoteza mpira tuutafute kwa pamoja, kwenda mbele Hazard sababu ana mbio akipewa basi Costa awe mbele zaidi ili aweze pokea na kufunga.

Cech
Iva Cahill Terry Azi
Fab Matic
Willian Hazard
Oscar
Costa

ningependa sana aanze Zouma baadala ya cahili au ikishindikana tuchezo mfumo tuliocheza na spurs zouma asogee mbele acheze sita , matic acheze nane kwa kuwa ana uwezo wa kukaba sana hivyo ataweza kumzuia matuidi asipige zile cross zake kwa cavan. lakini fabrigas acheze kumi au akae tu benchi.
 
Unajua mechi ya westham tulifunguka vizuri sana kwa kuwa west hawakuwa wazr sana kati lkn PSG kati Wako vzr Mkuu hivyo ni vzr kuwasoma kuliko kuanza kufunguka kuanzia dk ya 1 inaweza kuwa hatar kwetu.

Kwa maoni yangu hawa jamaa ata pembeni ni wazuri sn yani wanacheza mpira wa aina yoyote ile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom