Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Asante sn mkuu...

Asante pia mkuu,

Naona nyote nyie mmepanga Oscar kwanini asiwe Ramires, kuna tofauti gani kwa hawa wachezaji wawili wakuu?

Alafu mkuu ligera na Root naona mmepishana ktk swala la mfumo upi chelsea itumie mmoja amesema tushambulie sn na mwingine kasema tusishambulie....... na wote mmetoa sababu nzuri za kusema hivo na mimi kwa mtazamo wangu naona tujeze kwa tahadhali sn ata km tutashambulia lkn tuhakikishe nyuma hatufanyi makosa.

ikumbukwe kwamba psg hawana tofauti na barca hivyo kucheza game la kushambulia tutafungwa nyingi wakuu. hili game ni la kujirinda zaidi huku tukishambulia kwa timing sana
 
Last edited by a moderator:
ningependa sana aanze Zouma baadala ya cahili au ikishindikana tuchezo mfumo tuliocheza na spurs zouma asogee mbele acheze sita , matic acheze nane kwa kuwa ana uwezo wa kukaba sana hivyo ataweza kumzuia matuidi asipige zile cross zake kwa cavan. lakini fabrigas acheze kumi au akae tu benchi.

Km akipngwa Zouma hapo nyuma Matic akiumia tutakosa Sub kwa nafasi hiyo maana Obi ni majeruhi..mi nafikiri Zouma ataanzia benchi na Cahill ataanza kwa ajili ya kua na sub imara pia na ukumbuke mechi yetu na ATM tuliweka viungo wengi na mabeki mpira ukawa butu tukafungwa
 
Tujilinde baada ya kufunga goli mbili vinginevyo itakuwa draw ambayo ni nzuri ila mbaya kama itakuwa ni draw ya kufungana
 
Ok, apangwe nani hapo katikati kwa chelsea? Matic, Ramires na Faby? au apangwe Zouma, Matic na Faby? au Matic, Faby na Oscar?

Sasa ili kuzuia hizo kross za PSG Ivanovic asiwe anapanda sn mbele pamoja na Azzpi au Luis km atapangwa? Au Willian na Hazrd wanatakiwa kushuka nyuma na kuja kusaidia kukaba? Na ukumbuke km watafanya hivi sn basi ktk kushambulia watapwaya pia sijui unaonaje mkuu km ulivosema hii ngoma ni 50 kwa 50?

Kati awepo mati,fab,na ramires, hawa n watu Wa kazi, Oscar nguvu bado ingawa ana akili sana, pia nasema ni 50 sabab PSG wanaamin wakipata la mapema mech itakuwa kama inaanza upya na nikweli wilian na hazard wanaweza kuwasaidia azp na iva kublock cross zote, dk 15 zinatutosha kuwasoma baada ya hapo tunachezapira
Kumbuka Mkuu mou game hizi anauzoefu.
 
the say tanesco wamefanya kz yao, umeme ukirudi ntarudi tujadili hili.

Thx wakuu.
 
Last edited by a moderator:
Costa anatakiwa apewe sana tahadhari coz hachelewi kupanic akikutana na mabeki wahuni kama david luis+tiago silva, so tunaweza kujikuta tunacheza pungugu 7b ya hasira zake za kijinga jinga, he should change na ramires nae hivo hivo.
 
4-1-2-3 should be used...
4: azp terry cahill iva
1: zouma
2: matic faby
3: hazard costa willian
Kipa: Courtois

Rami na Oscar wataingia kutokana na game litakavyoenda. Kama tukifungwa ataingia Rami kujaribu kutafuta goli. Tukishinda mapema basi oscar ampumzishe Faby....
 
It’s going to be like a final, a big one-off game, and
we’ll be ready to go out there and give it everything.'
- Gary Cahill .
Thats the spirit Cahill, thats the spirit
 
Wakuu tukiwa tunaelekea kutizama mpira au burudani safi kati ya arsenal na Man Utd kuna huu mchezo mwingine ambao utakuwepo hewani ktk masaa yasiyozidi 50 kati ya Chelsea na PSG. Kuna mambo machache ningependa tuyajadili.

.......
Nafikiri nisiseme mengi mimi binafsi maana najua mengi yatatoka kwenu na kwa kujadili hili ningependa kuwaalika Nonda BAK Nzi everlenk Mbu RRONDO Manumbu Mentor EMT Mourinho Malafyale kalou Viol the say na wapenzi wa mpira wooooooooote karibuni sn.
Ntuzu.
Asante kwa mwaliko lakini..... we wacha tu...

Nikiandika hapa maoni yangu, nitatupiwa mawe na madongo. Wacha tu nisubiri hayo masaa 50 nije kufanya karamu.

Msalimie mtu zile zote zinarusha rusha matusi....ziambie zianze kuandika kamusi ya matusi Chelsea inakapopigwa mweleka.
 
Kati awepo mati,fab,na ramires, hawa n watu Wa kazi, Oscar nguvu bado ingawa ana akili sana, pia nasema ni 50 sabab PSG wanaamin wakipata la mapema mech itakuwa kama inaanza upya na nikweli wilian na hazard wanaweza kuwasaidia azp na iva kublock cross zote, dk 15 zinatutosha kuwasoma baada ya hapo tunachezapira
Kumbuka Mkuu mou game hizi anauzoefu.

Mkuu hapa siongezi chochote ata mimi nataka iwe hivo na ninafikiri Mou atapanga km ulivosema.
 
Costa anatakiwa apewe sana tahadhari coz hachelewi kupanic akikutana na mabeki wahuni kama david luis+tiago silva, so tunaweza kujikuta tunacheza pungugu 7b ya hasira zake za kijinga jinga, he should change na ramires nae hivo hivo.
Ni kweli mkuu lkn waamuzi wanaochezesha michezo ya UCL wako makini sn...wanatoa kadi pale kwenye makosa stahiki.

4-1-2-3 should be used...
4: azp terry cahill iva
1: zouma
2: matic faby
3: hazard costa willian
Kipa: Courtois

Rami na Oscar wataingia kutokana na game litakavyoenda. Kama tukifungwa ataingia Rami kujaribu kutafuta goli. Tukishinda mapema basi oscar ampumzishe Faby....

Mi napenda Zouma aanzie benchi au Cahill km atakaa benchi Zouma aanze ktk nafasi hiyo. Maana naona hakuna umuhimu wa kumpanga ktk nafasi hiyo ya kiungo mkabaji km Matic
It's going to be like a final, a big one-off game, and
we'll be ready to go out there and give it everything.'
- Gary Cahill .
Thats the spirit Cahill, thats the spirit

Maneno mazuri.......
 
Ntuzu.
Asante kwa mwaliko lakini..... we wacha tu...

Nikiandika hapa maoni yangu, nitatupiwa mawe na madongo. Wacha tu nisubiri hayo masaa 50 nije kufanya karamu.

Msalimie mtu zile zote zinarusha rusha matusi....ziambie zianze kuandika kamusi ya matusi Chelsea inakapopigwa mweleka.

Mkuu mi nimekualika utoa maoni yako yoyote yale kwa uhuru kabisa ndio maana nimekuita. Lkn km isingelikua hivo ningewaita mashabiki wa chelsea tu maana nawafahamu vzr. Lkn kwasababu tunahitaji mawazo kutoka pande zingine au kwa wakosoaji wetu ndio maana nikakuita....

Nikuombe tena km utapenda ulete utoe maoni yako......
 
David Luiz kwa hapa atakua na chuki zake na hii inaonyesha hakupenda Mou alivoamua kumuuza.

Former Chelsea defender David Luiz also took a swipe at Mourinho. When asked what made the Portuguese manager so special, he replied "He is special for you, not for me."

"They are having a great season, defend well and have great players but above all I know my team. We will try to score there and play like we know how."

"We will have a good game plan and implement it the best way possible to achieve a great performance. Both can still qualify."

-David Luiz

Source: Daily Star
 
David Luiz kwa hapa atakua na chuki zake na hii inaonyesha hakupenda Mou alivoamua kumuuza.

Former Chelsea defender David Luiz also took a swipe at Mourinho. When asked what made the Portuguese manager so special, he replied “He is special for you, not for me.”

“They are having a great season, defend well and have great players but above all I know my team. We will try to score there and play like we know how.”

“We will have a good game plan and implement it the best way possible to achieve a great performance. Both can still qualify.”

-David Luiz

Source: Daily Star
 
hawa PSG ni kuwashambulia,tukipaki basi watatufunga halafu ujue chelsea huwa tuna counter attack ila kwa hawa majamaa ni ngumu,hawa majamaa dawa ni kushambulia mwanzo mwisho
 
Kati awepo mati,fab,na ramires, hawa n watu Wa kazi, Oscar nguvu bado ingawa ana akili sana, pia nasema ni 50 sabab PSG wanaamin wakipata la mapema mech itakuwa kama inaanza upya na nikweli wilian na hazard wanaweza kuwasaidia azp na iva kublock cross zote, dk 15 zinatutosha kuwasoma baada ya hapo tunachezapira
Kumbuka Mkuu mou game hizi anauzoefu.

Mkuu umesema juu ya hawa jamaa wakipata goli mapema ngoma itakua km inaanza upya sawa na mdau mmoja na yeye kalisema hilo.

PSG aren’t pushovers themselves. They boast a star-studded front line, with Edinson Cavani, Ezequiel Lavezzi and the amazing Zlatan Ibrahimovic.

They will be on the attack, as they aren’t left with much of a choice; but if they score an early goal, they could sit back and frustrate Chelsea. However, the Blues — having home advantage and a huge confidence boost — should be able to get past The Parisians for a second successive season.

Source: Daily Star
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom