the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,774
- 3,369
Kwa hiyo, Willian anakimbia kama kobe?
Zaid ya Kobe na sio zaid ya bale
Kwa hiyo, Willian anakimbia kama kobe?
Personally Salah, Cuadrado na Willian bado hawajaniridhisha kuimudu hiyo position ya right winger.
Kwa Chelsea tuitakayo either waongeze bidii au someone else needs to b recruited.
Kati ya hawa mwenye ahueni ni Willian, napenda kumuangalia huyu na kama akipewa mechi nyingi basi anaweza kuja kuwa tishio kubwa.
Tatizo la Willian ni mpira wa mwisho, anaweza akapiga chenga watu sita halafu hilo boko atatoa hutaamini, halafu target yake golini kama Mateja Kezman........Oscar ana mechi chache kwa Willian lakini ana assists na goals mingi kuliko Willian
Naam hilo ni kweli kabisa, nadhani pumzi ndogo inachangia na uselfish pia. Ndiyo maana nimesema akipewa mechi nyingi kwani hilo linaweza kumuongezea pumzi na pia akiacha kubutuabutua na kuwapa vyumba wenzie asssits zake zinaweza kuwa juu sana kuliko mchezaji mwingine yeyote wa Chelsea.
Huu uzito usemao mimi nadhani unasababishwa na pumzi, akiweza kuongeza pumzi au kuacha upigaji chenga wa wachezaji wanne au zaidi na hivyo kupoteza pumzi yake anaweza kuwa tishio sana kwa ufungaji au kutoa assist. Ukishapiga chenga wachezaji wanne na kama pumzi yako ni mgogoro basi concentration yako hupotea hivyo hata ukijaribu kufunga inakuwa si rahisi au utapiga nje au weak shot ambayo ni nadra sana kufunga. Haya ndiyo maoni yangu ila kusema kweli pamoja na haya napenda sana kumuangalia huyu.
Willian ni mmoja wa wachezaji wazuri sana ktk Chelsea. anafanya mambo mengi sana uwanjani. anakaba sana, anapanda kwa kasi kwenye counter, anaweza kukimbia na mpira na occasionally anafunga. Of course nadhani alipokuwa Schalter alikuwa mzuri zaidi kwa vile alikuwa anacheza midfield katikati ambayo nahisi anapapenda zaidi tofauti na right wing ambako anachezeshwa Chelsea. Tatizo lingine ni kuwa huwa anasimama sana na mpira kiasi kwamba maadui wanarudi kuziba. angekuwa anaachia mipira yake mara moja, angekuwa mbaya zaidi!!! Lkn naamini bado anapanda kiwango na atakuja kuwa mbaya zaidi mwakani. nampenda pia kama a person. hana makuu na ni mvumilivu asiye na hasira za haraka. ktk hilo yuko kama Hazard tu. atachezewa rafu atamtazama refa tena kwa kunyanyua mikono juu...i like the guy kwa ujumla. a disciplined young fella
Angekuwa hana impact unadhani Mounriho angemuanzisha mechi 10 mfululizo? Siyo kila mchezaji anaweza kuwa na positive impact kila mech lakini kocha anatambua umuhimu wake wa kuwepo uwanjani pamoja na mapungufu yake kwa kujua fika ana uwezo wa kubadili matokeo ya mchezo wakati wowote ule, kama si hivyo angekuwa anasugua makalio yake kwenye bench wiki nenda wiki rudi.
Najua hata nyie sasa mnayaogopa MAJOGOO
Nani ataogopa timu iko nsfasi ya sita sijui saba huko?! Huku tuachie top four we nenda kashindane na Tottenham au Swansea au west ham
Najua hata nyie sasa mnayaogopa MAJOGOO
Majogooo yanapigania nafasi ya nne na ile 150 millions pounds club play like a pub team
Majogooo yanapigania nafasi ya nne na ile 150 millions pounds club play like a pub team
Najua hata nyie sasa mnayaogopa MAJOGOO
Chelsea na man city wanagombea ubingwa
Man utd,arsenal,Southampton wanagombea 3/4
Tottenham,Liverpool,westham wanagombea nafasi ya tano!
Hau make hata sense!Kama issue ni points nyingi iweje Soton agombee CL spot wakati kapitwa points na Majogoo?
Najua una kihoro sasa cha kukosa CL tena mwakani!Kiwango kibovu kama hiki mkicheza CL nyie naacha ingia hapa
Ila wewe ulio nafasi ya ngapi sijui una make sense kuogopwa na waliokuzidi kila kitu??!
March 22 nakushusha kuwa chini yangu
Mnacheza lini na Chelsea?
Mnacheza lini na Chelsea?
Nafikiri itakua tarehe 9 mwezi wa tano karibu na ligi kuisha hiyo mechi ndio tutakabiziwa kombe mbele ya LFC
Nafikiri itakua tarehe 9 mwezi wa tano karibu na ligi kuisha hiyo mechi ndio tutakabiziwa kombe mbele ya LFC
WW mwisho wako wa kuongea hapa ni March 22