Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hii timu yetu kuna kitu huwa sielewi,ikicheza na timu ndogo utaona kama haichezi poa ingawa inashinda,wakikutana na na timu kubwa ndo utajua wanatisha

Viol umesema hofu yangu. hofu yangu ya ubingwa ni hivi vitimu vidogo. pamoja na mambo mengine lakini wale Barnely haikuwa timu ya kutoa nao draw kabisa hata wakibebwa na refa. na hata mwaka jana pamoja na kutokuwa na striker mfungaji mzuri lkn ni mechi na timu ndogo ndizo zilizotunyima ubingwa tena kwenye phase hii ya March to May kama sikoseki. binafsi sina wasiwasi kabisa na ushndi kwenye mechi zetu na Man U, Liverpool na Arsenal zilizosalia. tatizo ni hivi timu timu...!! wanaweza ku spoil party hawa wakati watu tushaanza kufanya booking za kusherehekea ubingwa...
 
Nimefurahia mjadala wa leo. watu wako objective. mnachambua wachezaji na timu objectively hata kama sio timu yenu. this is how good footballers and sports people should be behaving. sio kutukanana na kuchekacheka kama fulani!!!
 
EMT unajua huu ndo uzuri wa capitalism. najua wewe unajua hili kuwa kila kitu ni fursa. Salah kapata fursa nzuri sana ya kujiuza. na naona anaitumia vizuri sana. nadhani ndiye mchezaji pekee aliyetoka Chelsea anayevuma zaidi huko alikoelekea. Yule dogo Kelvin wa Wolfurg (speeling?) nadhani nae alivma lkn naona kasawazika sasa. Schurrle sijamsikia sana toka aondoke. Lkn kwa Salah acha avume na acha afanye vizuri. ikionekana alihitaji play time zaidi nadhani atarudi darajani mwishoni mwa msimu na ikawa dhahma imemwangukia cuadrado ambaye nae asipojiangalia ataondoka. si unajua darajani ni mwendo wa performance management...results ndo zitakuweka pale na si vinginevyo!!


Juventus 1-2 Fiorentina: Mohamed Salah shows Chelsea what they're missing with superb brace to take tally to six in seven


  • Juventus lost at home for the first time in 48 matches
  • They were beaten in the Coppa Italia semi-final first leg
  • Mohamed Salah, on loan from Chelsea, scored twice
  • The Egyptian forward has now scored six goals in seven games


Read more: Juventus 1-2 Fiorentina: Mohamed Salah shows Chelsea what they're missing with superb brace | Daily Mail Online
 
Willian ni mmoja wa wachezaji wazuri sana ktk Chelsea. anafanya mambo mengi sana uwanjani. anakaba sana, anapanda kwa kasi kwenye counter, anaweza kukimbia na mpira na occasionally anafunga. Of course nadhani alipokuwa Schalter alikuwa mzuri zaidi kwa vile alikuwa anacheza midfield katikati ambayo nahisi anapapenda zaidi tofauti na right wing ambako anachezeshwa Chelsea. Tatizo lingine ni kuwa huwa anasimama sana na mpira kiasi kwamba maadui wanarudi kuziba. angekuwa anaachia mipira yake mara moja, angekuwa mbaya zaidi!!! Lkn naamini bado anapanda kiwango na atakuja kuwa mbaya zaidi mwakani. nampenda pia kama a person. hana makuu na ni mvumilivu asiye na hasira za haraka. ktk hilo yuko kama Hazard tu. atachezewa rafu atamtazama refa tena kwa kunyanyua mikono juu...i like the guy kwa ujumla. a disciplined young fella
 
Kati ya hawa mwenye ahueni ni Willian, napenda kumuangalia huyu na kama akipewa mechi nyingi basi anaweza kuja kuwa tishio kubwa.

Akipewa mechi nyingi? Excuse me sir....katika mechi kumi za mwisho Willian has started nine...na katika hizo kumi sijaona impact yake to be honest.
 
Angekuwa hana impact unadhani Mounriho angemuanzisha mechi 10 mfululizo? Siyo kila mchezaji anaweza kuwa na positive impact kila mech lakini kocha anatambua umuhimu wake wa kuwepo uwanjani pamoja na mapungufu yake kwa kujua fika ana uwezo wa kubadili matokeo ya mchezo wakati wowote ule, kama si hivyo angekuwa anasugua makalio yake kwenye bench wiki nenda wiki rudi.

One game impacts sio ninachoongelea.
Imagine Ivanovic has contributed more to the attacking than he has!!!
 
Sorry mdau Nonda ktk post yangu kulikuwa maswali mawili ulijibu moja au ni hofu tu ya ubovu wa timu yako na unafahamu ndoo ya epl inaenda wapi
Angalia post za nyuma kidogo, kuna mdau anajua timu yangu ni Bradford , Yeye ananiita Mr. Bradford. Timu hiyo haichezi katika epl. Au umenichagulia timu ingine? Nijulishe...ipi hiyo?
Si unaikumbuka Bradford? Burudika.

 
Last edited by a moderator:
Impact yake ni kukimbia mbio kama swala, chui ,huu ni uzuri wake na kujiangusha angusha ili chelsea ipate free kick au penalty (cheating). Katika hali hiyo ameisaidia/ anaisaidia Chelsea.

Kwa uelewa huu huwez kuwa kocha hata kwa mbagala fc
 
Impact yake ni kukimbia mbio kama swala, chui ,huu ni uzuri wake na kujiangusha angusha ili chelsea ipate free kick au penalty (cheating). Katika hali hiyo ameisaidia/ anaisaidia Chelsea.

Football gan watu hawakimbii wala kuanguka au imekuwa draft. Hiv hujui kuwa mbio pia ni chenga? Refer cr7.
 
Have you ever been to a Broadway musical or an opera? When it is over, how often do you talk about the musical accompanist? Probably almost never. The point of a band or orchestra is to accentuate the beautiful voices, but never steal the show from the actors on stage.


When you're playing on a team fighting for a championship, a team which is widely regarded as one of the top five clubs in the world, you would think that it is hard to go unnoticed, especially if you are regularly in the starting 11 for that club.

But for Chelsea Football Club, a team filled with so many stars, one man is making a significant impact, yet when the match is over, his name is rarely mentioned and analysts seem to forget about his contribution.


Chelsea has looked like the best team in the Premier League since the first week of the season. With the success of the club, many accolades have followed for Diego Costa, Cesc Fabregas, Nemanja Matic Eden Hazard and others. Chelsea is full of great footballers and each player is highly deserving of all the praise he receives.


But the name often forgotten by many is Willian. The 26-year-old Brazilian winger with his big fro looks like someone straight out of a 70's TV show. But now in his second season with Chelsea, Willian is beginning to make a major impact for the title contenders.


In his 41 appearances for the Blues, Willian has only scored five goals. His lack of goal scoring may be the reason for his lack of praise, but it's his unnoticed contributions which often lead to a Chelsea goal.


Whether he is leading a break away, taking a free kick, or sending a ball into the box from the wing, Willian's impact, though it may not be talked about by the media, is being noticed by his teammates and manager.


From last season where he was often a substitute, Willian has been preferred this season by Jose Mourinho over players like Ramires and Andre Schurrle.


One reason the impact of Willan often goes unnoticed is because it is his play away from the ball which makes him so valuable.

He will often run into the box from a wide position drawing in a defender or two alongside him. His movement then clears space for another player to take an open shot on goal.


On top of his contributions to Chelsea's attack, Willian is often the first midfielder to get back on defense when his team surrenders possession. It is often his high pressure which wins the ball back for Chelsea and allows them to continue their assault.

No, Willian is not the one scoring goals like Diego Costa and he is not the one always assisting on goals like Cesc Fabregas, nor is he the one making longs runs directly at the defense like Eden Hazard, but he is making the plays necessary to give the other stars on the team a chance to shine.

His consistent pace and unrelenting presence is nothing short of annoying for any opposing player. He will not tire from running until his number is shown as a substitute or the match is over.


Willian is not the sole reason Chelsea are the title favorites this season, but without his blue collar work ethic on the pitch, the stars of the show may not shine quite as bright. He is the musical accompanist who may go unnoticed, but without question, he plays a vital role in the overall performance.



Impact yake ni kukimbia mbio kama swala, chui ,huu ni uzuri wake na kujiangusha angusha ili chelsea ipate free kick au penalty (cheating). Katika hali hiyo ameisaidia/ anaisaidia Chelsea.
 
Football gan watu hawakimbii wala kuanguka au imekuwa draft. Hiv hujui kuwa mbio pia ni chenga? Refer cr7.
Umeelewa nini uliposoma mchango wangu?
Naona umekuja kama umeingia piripiri za macho. Vipi tena the say?
 
Nimeelewa sana, lkn ndan ya football kuna vtu ving sn OK mwenye sifa ya mbio had sasa n Gareth bale, akifuatiwa na cr7 na tatu n Torres, wanaoanguka n Ashley Young ndan ya Chelsea anaeongoza kwa kuangushwa n hazard, suala LA mbio wilian unamwongopea tangu Lin MTU mfupi akawa na mbio
 
Nimeelewa sana, lkn ndan ya football kuna vtu ving sn OK mwenye sifa ya mbio had sasa n Gareth bale, akifuatiwa na cr7 na tatu n Torres, wanaoanguka n Ashley Young ndan ya Chelsea anaeongoza kwa kuangushwa n hazard, suala LA mbio wilian unamwongopea tangu Lin MTU mfupi akawa na mbio
Kwa hiyo, Willian anakimbia kama kobe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom