Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mentor, Ntuzu na Manumbu, hivi huyu Mohamed Salah mmemuuza mazima? Mnaona anavyong'aa na Fiorentina?

[h=1]Juventus 1-2 Fiorentina: Mohamed Salah shows Chelsea what they're missing with superb brace to take tally to six in seven[/h]
  • Juventus lost at home for the first time in 48 matches
  • They were beaten in the Coppa Italia semi-final first leg
  • Mohamed Salah, on loan from Chelsea, scored twice
  • The Egyptian forward has now scored six goals in seven games

Read more: Juventus 1-2 Fiorentina: Mohamed Salah shows Chelsea what they're missing with superb brace | Daily Mail Online
 
Haya bana, tutamalizana nao Florence na Salah wao
 
Kama ilivyokuwa msimu uliopita ambapo Liverpool walipokonywa tonge mdomoni na Manchester City, kuna dalili pia msimu huu Chelsea wanaweza kupokonywa tonge mdomoni kama hawakukaza buti kuanzia sasa mpaka May.

Ukiona chelsea hatujachukua premier league title ujue hatuna guts or hatukuwa competent enough for it kwa msimu huu mkuu..maana hata uko kukaza unahitaji uwe na guts of doing so...

game 38 ni nyingi sana mkuu kiasi kwamba timu yenye uwezo na inayodeserve kuwin a title inaweza kujikwaa,kuanguka,kuwa na bahati mbaya at a given time na bado ikajikongoja,ikasimama,ikarudi kwenye form na kwenye tittle race na mwisho wa siku ikachukua kombe...game 38 ni muda wa kutosha 4 ups n down na trust me..anaechukua kombe ndo alie competent na alie na guts za kuchukua msimu huo.

This premier league tittle iz contrary to f.a or carling or copa de rey au na mashindano mengine yanayoinvolve knockouts ambayo yanaweza kuwa determined na those thingz(lucky,temporary form..injuries etc)
 
Kama ilivyokuwa msimu uliopita ambapo Liverpool walipokonywa tonge mdomoni na Manchester City, kuna dalili pia msimu huu Chelsea wanaweza kupokonywa tonge mdomoni kama hawakukaza buti kuanzia sasa mpaka May.

Chelsea ndio waliompkonya tonge Liverpool msimu uliopita, sasa msimu huu ni timu gani mathalani waweza kunitajia itaweza kunipokonya tonge mdomoni? Nitajie hiyo timu huku ukizingatia na gapes za points kwa timu zote hapo top four.
 
Umekuwa na jibu lako mfukoni? Nimekujibu, au ndio kiswahili pia ni shida kwako?

Rudia post iliyo nyuma ya post unayolalamika kuwa hujajibiwa.

Weka tafsiri yako uliyonayo, tulinganishe na jibu nililokupatia.

Natumai umeangalia replay na kuona kuwa mwamuzi alifanya yake!

Sorry mdau Nonda ktk post yangu kulikuwa maswali mawili ulijibu moja au ni hofu tu ya ubovu wa timu yako na unafahamu ndoo ya epl inaenda wapi
 
Huyu loanee wetu uko fiorentina mo salah kafanya kufuru

katika vitu management ya ufundi ya chelsea ilikosea ni kitendo cha kuruhusu sarah kwenda kwa mkopo fiorentina nadhani baada ya kumuuza schulle ilikuwa nafasi ya salah kuchukua nafasi ya schulle ili aonyeshe ujuzi wake kuliko kumtoa sarah ukamleta cuadrado ambaye inaonesha amempiku cuadrado
 
[h=1]Premier League: Manchester City beat Liverpool to title[/h]
Manchester City were crowned Premier League champions for the second time in three years by beating West Ham United on the final day of a dramatic season.
Needing only a point to finish ahead of Liverpool on goal difference, a 2-0 win gave boss Manuel Pellegrini the title in his first season in charge.
Liverpool beat Newcastle United 2-1 to finish runners-up.
Norwich City's relegation to the Championship was confirmed with their 2-0 defeat by Arsenal.

BBC Sport - Premier League: Manchester City beat Liverpool to title

Mkuu Ntuzu anayempokonya mtu tonge mdomoni mwake ni yule ambaye huliweka tonge hilo kinywani mwake na si kinywa cha mtu mwingine. Kwa hiyo Man C ndiyo waliompokonya L'Pool tonge mdomoni. Nisome tena kuhusu timu ambayo inaweza kufanya hivyo.

Chelsea ndio waliompkonya tonge Liverpool msimu uliopita, sasa msimu huu ni timu gani mathalani waweza kunitajia itaweza kunipokonya tonge mdomoni? Nitajie hiyo timu huku ukizingatia na gapes za points kwa timu zote hapo top four.
 
katika vitu management ya ufundi ya chelsea ilikosea ni kitendo cha kuruhusu sarah kwenda kwa mkopo fiorentina nadhani baada ya kumuuza schulle ilikuwa nafasi ya salah kuchukua nafasi ya schulle ili aonyeshe ujuzi wake kuliko kumtoa sarah ukamleta cuadrado ambaye inaonesha amempiku cuadrado

Personally Salah, Cuadrado na Willian bado hawajaniridhisha kuimudu hiyo position ya right winger.

Kwa Chelsea tuitakayo either waongeze bidii au someone else needs to b recruited.
 
Naomba nikumbushwe pale kileleni tulianza kukaa baada ya kushinda match ngapi..nnachokumbuka ni kwamba man city ndiye aliyetukuta pale kwa point na magori sawa lakini bado tulikaa kileleni kwa kuwashinda kiherufi...ni lini tulianza kukaa kileleni?
 
Kati ya hawa mwenye ahueni ni Willian, napenda kumuangalia huyu na kama akipewa mechi nyingi basi anaweza kuja kuwa tishio kubwa.

Personally Salah, Cuadrado na Willian bado hawajaniridhisha kuimudu hiyo position ya right winger.

Kwa Chelsea tuitakayo either waongeze bidii au someone else needs to b recruited.
 
Kati ya hawa mwenye ahueni ni Willian, napenda kumuangalia huyu na kama akipewa mechi nyingi basi anaweza kuja kuwa tishio kubwa.

Tatizo la Willian ni mpira wa mwisho, anaweza akapiga chenga watu sita halafu hilo boko atatoa hutaamini, halafu target yake golini kama Mateja Kezman........Oscar ana mechi chache kwa Willian lakini ana assists na goals mingi kuliko Willian
 
Personally Salah, Cuadrado na Willian bado hawajaniridhisha kuimudu hiyo position ya right winger.

Kwa Chelsea tuitakayo either waongeze bidii au someone else needs to b recruited.

Usham-write off Cuadrado?
 
Naam hilo ni kweli kabisa, nadhani pumzi ndogo inachangia na uselfish pia. Ndiyo maana nimesema akipewa mechi nyingi kwani hilo linaweza kumuongezea pumzi na pia akiacha kubutuabutua na kuwapa vyumba wenzie asssits zake zinaweza kuwa juu sana kuliko mchezaji mwingine yeyote wa Chelsea.

Tatizo la Willian ni mpira wa mwisho, anaweza akapiga chenga watu sita halafu hilo boko atatoa hutaamini, halafu target yake golini kama Mateja Kezman........Oscar ana mechi chache kwa Willian lakini ana assists na goals mingi kuliko Willian
 
Naam hilo ni kweli kabisa, nadhani pumzi ndogo inachangia na unselfish pia. Ndiyo maana nimesema akipewa mechi nyingi kwani hilo linaweza kumuongezea pumzi na pia akiacha kubutuabutua na kuwapa vyumba wenzie asssits zake zinaweza kuwa juu sana kuliko mchezaji mwingine yeyote wa Chelsea.

Mmnh, kwa pumzi sidhani kama kuna wa kumzidi kwa kikosi kizima cha Chelsea, labla Ramires na Matic, na sio selfish kiviile ila tu mzito kuachia mpira wa mwisho. Sijui hajiamini au anataka kuwa perfectionist sijui, maana Willian wa Shakhtar alikua moto wa kuotea mbali, anakokota, anafunga na assists za kutosha, combo yake na Fernandinho kwenye midfield ilikua one of the best
 
hii timu yetu kuna kitu huwa sielewi,ikicheza na timu ndogo utaona kama haichezi poa ingawa inashinda,wakikutana na na timu kubwa ndo utajua wanatisha
 
Huu uzito usemao mimi nadhani unasababishwa na pumzi, akiweza kuongeza pumzi au kuacha upigaji chenga wa wachezaji wanne au zaidi na hivyo kupoteza pumzi yake anaweza kuwa tishio sana kwa ufungaji au kutoa assist. Ukishapiga chenga wachezaji wanne na kama pumzi yako ni mgogoro basi concentration yako hupotea hivyo hata ukijaribu kufunga inakuwa si rahisi au utapiga nje au weak shot ambayo ni nadra sana kufunga. Haya ndiyo maoni yangu ila kusema kweli pamoja na haya napenda sana kumuangalia huyu.

Mmnh, kwa pumzi sidhani kama kuna wa kumzidi kwa kikosi kizima cha Chelsea, labla Ramires na Matic, na sio selfish kiviile ila tu mzito kuachia mpira wa mwisho. Sijui hajiamini au anataka kuwa perfectionist sijui, maana Willian wa Shakhtar alikua moto wa kuotea mbali, anakokota, anafunga na assists za kutosha, combo yake na Fernandinho kwenye midfield ilikua one of the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom