Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,943
Baadae ukitoka Upton Park chali uje hapa!!
Mna game ngumu sana leo na usijidanganye kama unamshinda WHU
...and that my friend, is our definition of chali!!!
Baadae ukitoka Upton Park chali uje hapa!!
Mna game ngumu sana leo na usijidanganye kama unamshinda WHU
Tafuta video, uone mwamuzi aliwabeba, Hazard alikuwa off side Ramires alipopiga cross.mechi ilikuwa tough mno muhimu ni point 3
...and that my friend, is our definition of chali!!!
Tafuta video, uone mwamuzi aliwabeba, Hazard alikuwa off side Ramires alipopiga cross.
Tafuta video, uone mwamuzi aliwabeba, Hazard alikuwa off side Ramires alipopiga cross.
Tafuta video, uone mwamuzi aliwabeba, Hazard alikuwa off side Ramires alipopiga cross.
The line up...
Kama kawaida MAJOGOO yamewika tena Anfield
Sio uzi wake huu.
Mnapobebwa hakuna kulalamika, linajulikana hilo. Lakini timu pinzani hawapigi domo kama Chelsea na Mourinho.uko poa lakini vip nafasi ya timu yako ktk kuchukua ubingwa ikoje,na unaiongeleaje chelsea msimu huu tunabeba ndoo ya epl au hapana,suala la hazard kuwa offside huo ni mtazamo wako lakini according to replay kijana alikuwa on side
Mnapobebwa hakuna kulalamika, linajulikana hilo. Lakini timu pinzani hawapigi domo kama Chelsea na Mourinho.
Hawalalamiki kuwa kunafanyika hila.
West Ham manager Sam Allardyce: "I believe the performance was magnificent. Their goalkeeper made some fantastic saves. I think the goal is offside by a hair's breadth.
"These decisions need to go for you, not against you. In saying all that we shouldn't have lost it in the chances we missed.
Link BBC Sport - West Ham United 0-1 Chelsea
Wewe ni shabiki wa Chelsea hulaumiki kufurahia kubebwa.
Shemeji Mentor bado una wasiwasi na Ramires? Aisee ameanza kurudi kwa kasi ktk ubora wake baada ya kuumia ktk mchezo wetu na Man City uliomfanya akae bench kwa muda kidogo. Mkuu km Matic anakuwepo na Faby anakuwepo mtu atake kaa bench ni Oscar maana Mou hawezezi kumuweka bench Ramires kwasababu ni mzee wa shughuli.
Alafu Mou tena jana kamtupia Zouma ktk nafasi ya kiungo mkabaji, huyu Mou kuna kitu anakijenga kwa huyu dogo ingawa ni hatari kuwatupia ma CB wengi ktk mchezo mmoja maana wakiumia kunakua hakuna replacement tena, lkn ngoja tuone mwisho wa hii kitu. na uzuri Matic kamaliza adhabu yake.