Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Wakuu kwa matazamo wangu huu mwezi wa tatu umeshakwisha kutokana na ratiba ninavoiona hakuna game ya kututisha ili kudondosha point.
Tuna mchezo mmoja wa CL na mitatu ya EPL nafikiri na ile game iliyokua postponed tunaweza kuicheza ndani ya mwezi huu. lkn next month tutakua na michezo miwili mikubwa mmoja tutakua away kwao Gunners kwa kina BAK na mwingine tutamkaribisha 2nzi na RRONDO na everlenk.

Attachments
Last edited by a moderator: